yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,128
Wakuu nina 350k. Naomba ushauri wenu ninunue simu gani kwa hela hii. Simu inayokaa na chaji na ina designe nzuri pia isiwe single line.
30C Mpyaaa!Tecno Spark
S21 kwa bei hiyo napata bossNunua Samsung Galaxy S series hata 21 used hutojuta
Wapi s21 used 350kSamsung Galaxy A34/S21 Used
Kwa zahoro,makumbusho, jiji dot com, na wauzaji wa instagram.Wapi s21 used 350k
Tecno/infinixWakuu nina 350k. Naomba ushauri wenu ninunue simu gani kwa hela hii. Simu inayokaa na chaji na ina designe nzuri pia isiwe single line.
Huwezi kupata kwa bei hiyo S21. Hata note 10 plus hupati.Kwa zahoro,makumbusho, jiji dot com, na wauzaji wa instagram.
Samsung Note 10+ used nitapata kwa bei gani?Huwezi kupata kwa bei hiyo S21. Hata note 10 plus hupati.
Naona wengi wanaanzia 450,000.Samsung Note 10+ used nitapata kwa bei gani?