Kuna rafiki yangu anahitaji laptop used kwa laki 3 na ½ iwe toshiba,dell,hp,compaq.
Nijulishe specification zake.
Kuna rafiki yangu anahitaji laptop used kwa laki 3 na ½ iwe toshiba,dell,hp,compaq.
Nijulishe specification zake.
dell
2gb ram,250 hdd,duo core processor nicheck 0659 995445 office zetu zipo magomeni mapipa karibu na stand ya mabasi yaendayo kasi.
Mkuu nina shida hiyo na mimi, nakupigia....not reachable!!!!aaah
usimkatishe tamaa ye mwenyewe ndo atajua laptop ipi inamfaa kwa budget yake zipo nzuri tu.Ckushauri ununue! itakuwa ya kizamani wala hutaifaidi. Bora uzichange change ununue laptop ya kisasa ambayo utaifurahia.
Ninayo binafsi ni dell hdd 320 ram 2gb njoo pm tuongee if u a serious buyer
Oooh! Kumbe nimekuharibia biashara. Pole...usimkatishe tamaa ye mwenyewe ndo atajua laptop ipi inamfaa kwa budget yake zipo nzuri tu.
apple used lete 450 ram4h hd 250 pocesr 4