Kama wewe ni mtumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ukahadaika kutotimiza ipasavyo wajibu wako wa kazi kwa mzigo km huo. Basi tambua kuwa ww haukufuzu mafunzo na pia ulijiunga na vyombo hivyo vya kwa ajiri ya kupata ajira na sio wito. Hizi kazi ni za wito na kujitoa haswa kwa ajiri ya ustawi mzuri nchi yako na watu wake.