Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Msiseme mi ni mmoja kati ya mabwana hawa
Kama huwajui na haikuhusuni kina nani hawa toa maelezo na wamefanya nini ? vingenevyo wacha tujadili mambo mengine
hahahaha mnajaza seva mchewwwKama huwajui na haikuhusu
Ohooooo!!!hahahaha mnajaza seva mchewww
ndio kabandika picha sijui zakinanani hajatoa maelezo halafu analeta majibu ya kinaniliu nimemblokilia mbali nisione mazagazaga yasiyo na maana mieOhooooo!!!
ndio kabandika picha sijui zakinanani hajatoa maelezo halafu analeta majibu ya kinaniliu nimemblokilia mbali nisione mazagazaga yasiyo na maana mie