RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,396
- 139,208
Yaani mnatuvumilia kuanzia tunapowatoa out mpaka kitandani...ngoja niliongelee hili la out. Unakuta jamaa katoa ofa kwa mdada..mnakula mnakunywa alafu bill ikija jamaa anaanza kutoa macho na kuuliza maswali yasiyo kua na msingi, eti, umekunywa kesto laiti 6? au kwani wewe umekula makange au mchemsho.? alafu sasa mtu kama mimi nikiuliza hayo maswali lazima meza ya pili wasikie ninavyoongea kwa sauti.... kwa kweli mnatuvumilia. Wanaume tujaribuni basi bill ikija upige mwenyewe kichani sio vizuri kumuuuliza mwanamke eti umekunywa reds ngapi.. tunawakwaza jamani. Merry Krisimasi.
kuhakiki bill hamna ubaya wowote....sio kwa sababu niko na mwanamke ndio muhudumu a-take advantage na ukizubaa mishikaki 5 unaambiwa saba...savanna nne unaambiwa sita!!!