Kwa kweli Simuelewi huyu dada

Kwa kweli Simuelewi huyu dada

Humuelewi kitu gani? Amekupenda ila ndio vile anakuona mdogo ki umri..!

Akikwambia hujambo? Mwambie sijambo Shikamoo dada..! Baasi..

Du.! shikamoo tena. Kwani ivi ni lazima kumsalimi mtu kwa shikamoo ndio akuone unamheshimu.
 
Kuna utoto fulani from you ambao anatamani usingekuwa nao...ili uwe more useful kwake au jamii kiujumla

labda, huwa nafikiri yeye anataka awe kwenye level yangu ili tuongee lugha moja. Namuona kama anaumia sana tunapopiga story wengine wanaelewa alafu yeye anabaki anatoa macho
 
is there anyway we can be of help to that?
 
Unanifurahisha unavyoupenda ukubwa.
Nahisi pia unamtamani na unajua amekuzidi umri kwa hiyo unatamani akuone na wewe ni mkubwa ili umuombe game...
Kuwa na heshima halafu piga kazi

Hapana kaka, namueshimu ila naona kama yeye ndio anataka kujilevel na mimi.
 
Back
Top Bottom