camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 394
- 802
Mikoa ya kufanyia kazi sio DSM pekee, hawaia katazwa kuhama mkoaasilimia kubwa ya wakazi wanaoishi pembezoni ya jiji la bongo dar es salaam wanapata mda mchache sana wa kupumzika pindi wanapolejea nyumbani wakiwa wametoka kazini kwasababu uwa wanachelewa sana kufika kwenye makazi yao na uwa inawalazimu kuamka asubuhi na mapema kwa ajiri ya kujiandaa tena ili kurudi kazini
jombaa umemaliza kila kitu kwa kweli tuwaombee dua tuKwakweli sisi zetu Dua tu
ok.🐒asilimia kubwa ya wakazi wanaoishi pembezoni ya jiji la bongo dar es salaam wanapata mda mchache sana wa kupumzika pindi wanapolejea nyumbani wakiwa wametoka kazini kwasababu uwa wanachelewa sana kufika kwenye makazi yao na uwa inawalazimu kuamka asubuhi na mapema kwa ajiri ya kujiandaa tena ili kurudi kazini
Dua za nini watu wanajitakia hayo maisha? Hiyo siyo ajali ni maamuzi Yao dua ya nini?Kwakweli sisi zetu Dua tu
mkuu psalm kiukweli mimi nilijua labda na wewe ni mkazi wa katikati ya dasilamu kwakua kwa sasa una jina kubwa sana ndani ya jf vp unaishi pande zipiPoleni sana huko dasilamu...
Niko huku kwa matajiri mkuu katoro-Geita......mkuu psalm kiukweli mimi nilijua labda na wewe ni mkazi wa katikati ya dasilamu kwakua kwa sasa una jina kubwa sana ndani ya jf vp unaishi pande zipi
basi bila shaka nawewe utakua ni tajiri lakini vp kwenye utumishi wa kumtumikia bwana yesu unaonekana unausika sanaNiko huku kwa matajiri mkuu katoro-Geita......
Kaka KikulachoChako hizo asilimia kubwa unazipataje?unaweza kutuwekea rejea nasi tujiridhishe na hizi tuhuma zako?Asilimia kubwa ya watu wa dar es salaam wanateseka....hawafurahii maisha...iwe una kipato au kapuku kila mtu anateseka kwa namna yake...
Watu wa Dar es salaam ukiwatazama hivi ni kama wamechanganyikiwa....muda wote wamenuna hawana furaha.....
Pesa zipo mifukoni lakini wanaishi kama wapo kuzimu....ndio maana wengi wao wanalewa sehemu za kazi kwa sababu ya kupunguza stress.....
Na wengi ni wezi, madalali na matapeli waliokuwa kazini au wanangojea fursa.....hata ndugu yako mliyekuwa naye kijijini akishaingia dar es salaam kaa naye chonjo!!!
Watu wapo smart wameulamba lakini matumbo hayana kitu na wengine wanalala vibarazani.......
Mtu unamuona kaulamba lakini akikupeleka huko vichochoroni anapoishi inakulazimu kufika kila siku kama wiki hivi au zaidi ili kukariri njia....
Ndio maana wengi ni wagumu kupokea wageni kutokana na mikogo yao isiyoendana na mazingira yao ya maisha kwa ujumla.....
Asilimia kubwa ya wanawake wa Dar es salaam ni wanajiuza kwa mazingira yoyote utakayomuona na kwa hali yoyote utakayomkuta wewe ongea naye bei na anafika dau.......
Dar es salaam ni jiji la fursa lakini kwa wachache tu lakini wengi wamekuwa watumwa walioleweshwa na starehe za jiji huku wakiupoteza muda ambao baadae wataujutia