mollel arusha
Member
- Apr 26, 2013
- 19
- 8
amini usiamini hizi ni nyakati zile walizonena manabii. kulingana na maandiko matakatifu ya Mungu ktk Mwz 19: 14-17 inaweka wazi kwamba, mambo yayotokea siku za leo kama vile: ushoga, kuporomoka kwa maadili, kupenda pesa kuliko kumpendaMungu n.k inaashiria mwisho ule. Yesu anasema kama ilivyokuwa siku za Lutu ndivyo kutakavyo kuwa siku za kurudi kwake na ya mwisho wa dunia. hivyo ni heri tugeuke na kuacha maovu na kumgeukia Mungu mtakatifu. soma Biblia na kuamini maneno ya Mungu. Mungu, msaidie msomaji huyu sasa kwa jina la Yesu, amen!