Kwa kuviita vyama vya upinzani ni vya musimu na "photocopy", JK siyo mkweli.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kuviita vyama vya upinzani ni vya musimu na "photocopy", JK siyo mkweli..........

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 19, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  Vyama vyote vya siasa ni vyetu na JK anapodai ni vya musimu siyo mkweli kwa sababu anamaanisha John Tendwa anavibeba wakati kamisaa huyu wa vyama vya siasa ni mteule wake. Kama Tendwa anashindwa kutekeleza majukumu yake inakuwaje JK hajamuoondoa..............Hii yamaanisha pia JK naye ni mzembe pia kwa kushindwa kumchukulia Tendwa hatua.........

  Kwa kuvinyanyapaa vyama vya upinzani kuwa ni "photocopy" JK anamwaga pumba zake hadharani. Swali la msingi ambalo wapigakura inapaswa tumuulize ni kuwa ni kwa nini ni wakati wa uchaguzi tu ndiyo amegundua ni "photocopy" mbona kabla ya hapo hatujamsikia akiviponda hivyo?

  Halafu hata kama ni "photocopy" tusipovipigia kura nyingi za ndiyo ni lini vitajifunza kutembea na kutokuwa "photocopy"?

  Yaani JK kwa janja ya nyani anataka tusahahu CCM kwa dhuluma inayotufanyia kwa miaka nenda rudi kwa kutuuzia hoja ambazo hata darasa hazijaenda.

  LOOO........SAFARI HII TUNASEMA HATUDANGANYIKI........CHAGUA DR. SLAA...CHAGUA CHADEMA...............................
   
 2. M

  Munghiki Senior Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Well the guy hana sera ni mbwabwaja hovyo that is the only ting he knows!
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Mkuu kama jana uliangalia Dr.Slaa alipohojiwa ITV naamini utakubaliana nami kuwa JK kama kiongozi level yake ni Distric officer(DC) hapo alipo yupo kisanii tu.
   
Loading...