Cryptographer
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 376
- 730
Labda nchi nyingine, shida kibongobongo tunachukuliana poa sana, roho mbaya,chuki na wivu,hizi mambo hata uwe mzuri utasanda tu,pia taifa halina sera ya dhati ya kuinua watu kwenye hizi taaluma.Ukija huku maofisini ndo usiseme system administrator atakupiga zengwe akijua tu unajua hata kama unavolunteer, ndo mana mimi nimeamua kujikita kwenye electronics hasa computer maintenance na mshine zingine lakini ni shida majungu kila kona..chuo nilichosoma kuna jamaa alitupita mwaka mmoja same course jamaa alikuwa anajua code balaa zile from the scratch sio za kukariri basi ndo akawa kama mkombozi wetu ticha akizingua tunamfata mtaalam anatunyooshea kama kazitunga yeye..walipokuja kugundua zengwe likaundwa, jamaa akadisco semista ya sita badala ya kumsupport..asee ngozi nyeusi mahali kuna kitu hakijakaa sawa..