Kwa kuichukia CCM hakuna kushinda, Kongo wameonyesha!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Bila ya Kabila kumkubali Tshisekedi asingeshinda Uchaguzi Kongo, hivyo hilo ni fundisho kwa chadema uadui na chuki dhidi ya Raisi wa JMTZ ambaye ndiye Mkuu wa CCM hakuna mahali mtaenda, kwani tumeona hata Kongo when shit hits the fan, Raisi ana uwezo wa kumwachia atakayemchagua hata kama ni wa Upinzani, hivyo kwa Tanzania anaweza akaachiwa Cheyo au hata Mrema kwa mfano, ...
 
Bila ya Kabila kumkubali Tshekedi asingeshinda Uchaguzi Kongo, hivyo hilo ni fundisho kwa chadema uadui na chuki dhidi ya Raisi wa JMTZ ambaye ndiye Mkuu wa CCM hakuna mahali mtaenda, kwani tumeona hata Kongo when shit hits the fan, Raisi ana uwezo wa kumwachia atakayemchagua hata kama ni wa Upinzani, hivyo kwa Tanzania anaweza akaachiwa Cheyo au hata Mrema kwa mfano, ...
We kiibilisi cha ajabu sana hujui hata kidogo juu ya ulichokiandika ni ujinga mtupu
 
Upinzani wameshinda nadhani hata TV yenu haitatangaza matokeo ya upinzani kushinda mnabaki kutapatapa tuu...
 
Bila ya Kabila kumkubali Tshekedi asingeshinda Uchaguzi Kongo, hivyo hilo ni fundisho kwa chadema uadui na chuki dhidi ya Raisi wa JMTZ ambaye ndiye Mkuu wa CCM hakuna mahali mtaenda, kwani tumeona hata Kongo when shit hits the fan, Raisi ana uwezo wa kumwachia atakayemchagua hata kama ni wa Upinzani, hivyo kwa Tanzania anaweza akaachiwa Cheyo au hata Mrema kwa mfano, ...

..anayetakiwa kuwakubali wenzake ni Jiwe.

..katika viongozi[jkn,ahm,bwm,jmk] wote wa nchi hii sijaona mwenye CHUKI zaidi ya Jiwe.

..hivi haiwezekani kujenga miundombinu, au kununua ndege, bila kuchochea chuki na kuwagawa waTz?

Cc Phillipo Bukililo , Nguruvi3
 
Mwenye shida amfwate mganga, isitoshe hiyo unayoiita chuki ni uvivu tu ndo unaowasumbua, Raisi Magufuli anapiga kazi kujenga nchi na wavivu wote mnamchukia, Kikwete wala hamkumpenda na usilete unafiki kwani aliyesambaza graphic photos za Kikwete kwenye mitandao ya kijamii ni nani kama siyo ninyi au ndo upendo huo?
 
  • Thanks
Reactions: Ctr

..vichwa maji hawakosekani siku zote.

..sasa hivi huoni matusi wanayotukanwa viongozi wa upinzani?

..je, matusi hayo, kwa mfano ya Musiba kwa Zitto Kabwe, unadhani Jiwe anaweza kuyavumilia?

..sasa hebu angalia ukaribu wa Jiwe na Musiba.
 
Back
Top Bottom