LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 296
Waliosaini huo mkataba ndio wakulaumiwa wala sio simba.Unaikumbuka tarehe 25.6.2021 Kilichotokea katika sekta ya michezo Tanzania?! Hahaha acha nicheke kwanza na nishushie maji ya AFYA kidogo uku nikisubiri spare zangu nilizoagizwa pale kariakoo mtaa wa Lumumba kwa bwana GSM nikiendelea kusubiri MO TAMBI anazoandaa shemeji yenu...
Bro! Naomba msaada wako maana kuna masuala sijaelewa.Tanzania hakuna mpira ni takataka tu.
Wakati mkataba unasainiwa viongozi wa simba hawakuwepo????kikosi kipeleke ombi maalumu shirikisho la soka la Rwanda tuhamie huko , majitu yanafanya mikataba hewa kisa yamepewa cha juu yanajitoa fahamu...
Yaani umeandika kinyesi kitupu wewe utakuwa mbumbumbu wa kiwango cha PhD kenge wewekikosi kipeleke ombi maalumu shirikisho la soka la Rwanda tuhamie huko , majitu yanafanya mikataba hewa kisa yamepewa cha juu yanajitoa fahamu...
Umekaa ukawazaa ukaona uandike huu uharoKikosi kipeleke ombi maalumu shirikisho la soka la Rwanda tuhamie huko , majitu yanafanya mikataba hewa kisa yamepewa cha juu yanajitoa fahamu.
Kwa muda mrefu simba wamekuwa wakichukuliwa kama push over sasa hali hii ikome.
Baada ya kilichoitwa kusaini mkataba wa udhamini, lopolopo lilipost kwamba MPENDE MSIPENDE MTAIVAA NEMBO BEGANI baada ya hapo Tff wakatoa statement ya kupiga marufuku kujadili mkataba huo.
Yaani lopolopo lilikuwa linajua details za maktaba huo wa kishoga ila simba hawajui
Uache bilioni 1 kwa mwaka ya fed vunja bei ukavae takataka za kit supplier wa utopolo kwa milioni 60 kwa mwaka
IMETOSHA KUHUSU HAYA MATAPELI YA TFF NA BODI YA LIGI
TUMEHANGAIKA MIAKA 4 LIGI INASHIKA NAFASI YA 10 AFRIKA NA INAINGIZA TEAMS 4 BAKINI NA MAKOROKOCHO YENU
WALA MSIHANGAIKE KWENDA UWANJANI KESHO HAKUNA MECHI KANUNUENI BIA NA MISHIKAKI HIZO HELA
HONGERENI MATAPELI YA GSM MMEJUA KUVURUGA HALI YA HEWA, MIAKA 3 MMETAPELI HUKO UTOPOLONI SASA MMEONA MKAHONGE MAJITU YENYE NJAA YAHARIBU KILA KITU
Bro kusema ukweli sifahamu lolote. Mimi nilijitoa kufuatilia mpira wa Tanzania tokea mwezi October. Kuna uzi nilianzisha.Bro! Naomba msaada wako maana kuna masuala sijaelewa.
Simba haitaki kuvaa logo ya GSM kwa sababu...
Huyu Senzo siyo mtu mzuri, anamuangalia chombo ya Mzee Tozi kwa matamanio makubwa mno.Tuliza munkali kijana[emoji4]View attachment 2039447
Oke, hata mimi sina ninachofuatilia huko Tanzania, mambo yote naona mapya.Bro kusema ukweli sifahamu lolote. Mimi nilijitoa kufuatilia mpira wa Tanzania tokea mwezi October. Kuna uzi nilianzisha.