Bunge la wananchi litakuwa na CHADEMA na hilo la CCM litakuwa la posho na walaji wa kodiReforms kufanyika nje ya ushiriki wa siasa ni ndoto za mtoto mchanga
Uanaharakati si siasa, na ukweli umejidhihirisha, uchaguzi bila CHADEMA hautii doa kwa demokrasia ya vyama vingi
Utopia ya NRNE imeipa faida zaidi CCM kuliko hasara, CDM wasidhani wao ndyo muhimu sana kuliko vyama vingine vya upinzani.
RIP CDM
Sahihi kabisa bora wasishiriki huu ushetani wa CCMWashiriķi uchaģuzi wa chama kimoja???? Hiyo itakuwa akili au matopè??? Tena nawapongeza chadema wakazie hapo hapo ni heri kutokushiriki uchaguzi kuliko kushiriki uchaguzi wa kihuni
Deni la mamaBunge la wananchi litakuwa na CHADEMA na hilo la CCM litakuwa la posho na walaji wa kodi View attachment 3424515
RIP CDMBunge la wananchi litakuwa na CHADEMA na hilo la CCM litakuwa la posho na walaji wa kodi View attachment 3424515
Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .
Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .
Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .
Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.
Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
CCM inachukua rasilimali watu wake walioenda upinzani, kumbukka hapo mwanzo kulikuwa ni CCM tu, na wapinzani walitoka CCM, wapinzani kurudi nyumbani kwa baba yao CCM ni uhalisia wa mambo, so usilielie na kuilaumu CCM "Let nature take its course"Kwamba CCM yenye maajabu inachukua watu kutokea CHADEMA chama cha juzi na kuwapa vyeo vikubwa ndani ya serikali! Hiyo ni sababu tosha kuonesha jinsi CCM ilivyo jaza vichwa maji.
wote ni uzao wa CCM kurudi kwao ni natural (gone back where they belong), ni vichwa matikiti tu ndyo hawawezi elewa hiyo theoryKwamba CCM yenye maajabu inachukua watu kutokea CHADEMA chama cha juzi na kuwapa vyeo vikubwa ndani ya serikali! Hiyo ni sababu tosha kuonesha jinsi CCM ilivyo jaza vichwa maji.
Mpinzani wa kweli hawezi kuruhusu kura yake ikaibiwa kizembe. Bagonza alitoa neno juu ya kulinda kura yako. Werevu walimsikia nadhani watalifanyia kazi.Uchaguzi utafanyika na maisha yataendelea.
Wahenga walimsema "Heri Tisa kamata kuliko kumi nenda rudi"
Hekima kuu ingewatuma kugombea hata akipatikana Mbunge 1 huyo atatumika kuisemea CHADEMA katika jukwaa rasmi.
Miaka 5 nje ya uwanja watashangaa wenyewe.
exactly, ni bora kujitoa au kutolewa ulingoni kama ilivyokuwa kwa CDMMpinzani wa kweli hawezi kuruhusu kura yake ikaibiwa kizembe. Bagonza alitoa neno juu ya kulinda kura yako. Werevu walimsikia nadhani watalifanyia kazi.
Kwa katiba ipi? Sheria ipi?..uchaguzi bila chadema utakosa ushindani na utakuwa mufilis.
Na CCM ndio mama wa vilaza Tanzaniawote ni uzo wa CCM kurudi kwao ni natural, ni vichwa matikiti tu ndyo hawawezi elewa hiyo theory
CCM imejaa vichwa maji ndio maana inategemea brains kutoka CHADEMACCM inachukua rasilimali watu wake walioenda upinzani, kumbukka hapo mwanzo kulikuwa ni CCM tu, na wapinzani walitoka CCM, wapinzani kurudi nyumbani kwa baba yao CCM ni uhalisia wa mambo, so usilielie na kuilaumu CCM "Let nature take its course"
Punguza mihemko.Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .
Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .
Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .
Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.
Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
Haijalishi madhali wote ni watanzania.CCM imejaa vichwa maji ndio maana inategemea brains kutoka CHADEMA
Tatizo lenu ni kukosa Akili .....Samia ndiye asiye taka UCHAGUZI NA GENGE LAKE LA WAHALIFU NA WAHUNI tumieni akili ...Samia amesha jipitisha na kujiteua kuwa rais pamoja na wabunge awatakao na kuwaondoa asio wataka ...anacho jatibu samia kukifanya ni kutengeneza mazingira feki ionekane kuwa tanzania kumefanyika uchaguziHabari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .