GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm wanasema No election No reforms
downloadfile-5.jpg
 
moja ya grave mistake waliyofanya chadema ni kutaka kesi ya lissu iwe live, watu wanaona namna ilivyongumu kuendesha kesi ukiwa ndani, kama lissu anamawakili 60, kuna wazungu wanafuatilia kesi yake na anahangaika ma mapingamizi miezi sita sasa hata kesi haijaanza kusikilizwa,

wanamwona alivyo chini ya ulinzi mkali tena wengine wana silaha sijui matunguli au majini au misukule wengine wamekaa kama mitunge, silaha nzito na magari yanayotembea kwa kasi utadhani yanaendeshwa na alshabaab.

wanaona mabaunsa wao akina henche wanatimuliwq mahakamani kama mbwa, wengine ndo hawajawahi kabisa kanyanga mahakamani

niwazi wafuasi wameingiwa na hofu sasa hivi hata zile hamasa za kwenda mahakamaninkusikiliza kesi hazipo tena. nikama kumkoma nyani juu ya mlingoti nyani wengine hutawanyika kwa kasi sana na kutokomea kabisa

leo hata yakiitishwa maandamano mtu akaona yatampata ya lisu walaah hakuna wakutia mguu. kesi yalisu ingeendeshwa kimtandao wafuasi wasiongeona madhila anayopitia ingekuwa kama kuwaswaga nyani shambani kwa miluzi wanadesh wanarudi.
 
Wananchi wakikosa mbadala wa mawazo na maumivu yao na wasipokuwa na matumaini hata kidogo ya mabadiliko huwa jambo la hatari zaidi. Kuna siku Tanzania,Uganda na Rwanda itatokea tatizo kubwa sana kama mamlaka ya nchi hizo hazitajirekebisha katika kuweka sawa mizania ya kisiasa na kiutawala. Wananchi watachukua nchi yao kwa nguvu!
 
100%✓
 
sidhani kama waTanzania wanahitaji maajabu ya CHADEMA, hiki ni chama cha juzi tu, hakina maajabu ya kuumfanyia mtanzania jipya, wenye akili waliokuwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wamehamia kwa GOLIATH na mchango wao tunauona kuliko wapokuwa huko CDM et al @ Prof Kitila Mkumbo, David KAFULILA, MTATIRO, MSIGWA, DC NASARI, Esther Matiko, Rev MSIGWA etc etc
I have scessfully incited U, the IMBECILES :crayonTime:
 
Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .

Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .

Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .

Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.

Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
Reform ipo CHADEMA wataendelea nayo hata baada ya uchaguzi na itasumbua sana wakati huo kuliko hata wakati huu.
 
itamsumbua nani? mtasumbuana wenyewe baada ya uchaguzi watu hawatakuwa na hiyo mood ya activism
 
Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .

Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .

Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .

Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.

Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?
Fact👍
 
Leo tuko bize na vurugu na chaguzi za ccM , lissu ukitoka rudi Ulaya kaendelee na maisha
 
Back
Top Bottom