makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Baada ya kujihisi kuwa na kipaji katika fani ya Utangazaji wa Radio aliamua kujiminya ili kupata walau cheti katika fani hiyo na kwa rehma za mungu alifanikiwa kupata Advance Certificate of Journalism and Mass Communication Mwaka 2011 Tangu Mwaka huo hajafanikiwa kupata Ajira kabisa na ni mtaalam katika
-Uandaaji Wa Vipindi Vya Radio
-Sauti nzuri kwa matangazo
-Uandishi wa Majarida
-Utangazaji wa vipindi Vyenye Mahudhui Tofauti kama Burudani,Michezo,NK
Kama mdau unaepitia Bandiko hili utaguswa kwa namna moja au nyingine tumsaidie kijana wetu hata kwa ushauri yupo Tanga na ana umri wa miaka 25 pia yupo tayari kufanya kazi yoyote halali nje ya taaluma hiyo kutokana na mazingira aliyonayo Ni PM kwa chochote kama msaada. Asante