Kwa Kikwete ni makosa, kwa Lowassa ilikuwa sahihi!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,388
Baada ya hotuba ya Magufuli jana Bungeni, zimeanza kuibuka hisia kuwa hotuba ya Magufuli kwa kiasi fulani ililenga kumponda mtangulizi wake.Wanaolaumu wanadai Kikwete ni Raisi mstaafu na anapaswa kuheshimiwa.

Mimi naomba niwaulize hawa watu.Hivi Lowassa aliedhalilishwa na kudhihakiwa wakati wa kampeni hakuwa kiongozi mstaafu wa kitaifa?

Maneno aliotumia Magufuli katika hotuba yake unaweza ukayalinganisha na maneno yaliyotumiwa na makada wa CCM dhidi ya Lowassa?

Tuache hii doublestandard, haitusaidii!
 
Lowasa anawangoja mkamfagilie barabara za monduli ikiwezekana mpigieni na deki kabisa eeeehhhh???
 
Mkuki kwa nguruwe. Nimependa sana Mheshimiwa Rais aliposisitiza tena kwa mara nyingine kwamba ataanzisha mahakama ya kushughulikia rushwa na mafisadi. Sasa Nape aje arekebishe tena akisema Mh. Rais hakueleweka.
 
Lowasa ana sifa ya kuwa waziri mkuu pekee aliyestaafu kwa kashfa
 
Baada ya hotuba ya Magufuli jana Bungeni, zimeanza kuibuka hisia kuwa hotuba ya Magufuli kwa kiasi fulani ililenga kumponda mtangulizi wake.Wanaolaumu wanadai Kikwete ni Raisi mstaafu na anapaswa kuheshimiwa.

Mimi naomba niwaulize hawa watu.Hivi Lowassa aliedhalilishwa na kudhihakiwa wakati wa kampeni hakuwa kiongozi mstaafu wa kitaifa?

Maneno aliotumia Magufuli katika hotuba yake unaweza ukayalinganisha na maneno yaliyotumiwa na makada wa CCM dhidi ya Lowassa?

Tuache hii doublestandard, haitusaidii!
Lowassa hajambo?
 
Rais hakumsema mtu yeyote wala kiongozi yeyote yule!
Yeye kaeleza anachofikiria atakifanya!
Kama kimewagusa sasa Hamna namna, mvumilie tu!!!
 
Hotuba jpm ni danganya toto kwa wasomi wa siasa wataelewa ccmmm na jk watu hawawataki, ili kurudisha mvuto wa chama na kuwafunga watz macho wameamua kutumia maneno ya kumponda jk na serekali yake ili kupata gia ya kuwahadaa watz wawakubali kwani wanajua elimu ya watu ni ndogo na uwezo wao wa kufikiri ni hafifu, huyu hana jipya atafanya yale yale ya ccmmm wanayotaka, muda ni mtoa haka wa kweli.
 
Baada ya hotuba ya Magufuli jana Bungeni, zimeanza kuibuka hisia kuwa hotuba ya Magufuli kwa kiasi fulani ililenga kumponda mtangulizi wake.Wanaolaumu wanadai Kikwete ni Raisi mstaafu na anapaswa kuheshimiwa.

Mimi naomba niwaulize hawa watu.Hivi Lowassa aliedhalilishwa na kudhihakiwa wakati wa kampeni hakuwa kiongozi mstaafu wa kitaifa?

Maneno aliotumia Magufuli katika hotuba yake unaweza ukayalinganisha na maneno yaliyotumiwa na makada wa CCM dhidi ya Lowassa?

Tuache hii doublestandard, haitusaidii!
Hapana, hakuwa kiongozi mstaafu "wa kitaifa. " Uliza swali jingine
 
Mkuki kwa nguruwe. Nimependa sana Mheshimiwa Rais aliposisitiza tena kwa mara nyingine kwamba ataanzisha mahakama ya kushughulikia rushwa na mafisadi. Sasa Nape aje arekebishe tena akisema Mh. Rais hakueleweka.

Ninachofurahi mimi hiyo mahakama itawatoa uraiani mafisadi na wala rushwa wakubwa walioko CCM
 
Attachments

  • 1448115339389.jpg
    1448115339389.jpg
    15.4 KB · Views: 214
Back
Top Bottom