Kwa kikosi hiki tunatoboa Afcon 2019

Kwa kikosi hiki tunatoboa Afcon 2019

Mkude Amesifiwa kuliko uwezo wake. Simba ilibebwa kwenye kiungo na niyonzima . Mkude hana nidhamu kwahiyo hana nafasi kwenye timu
 
Write your reply...
labda ni kutoboa tundu kama alivyosema mzeebaba jiwe
 
Tunachokosea ni kumpanga Sammata central forward. Samatta hatakiwi kusubiri mpira

Stars inatakiwa icheze 4-4-2 B nasio A.

Na kama ikitaka kucheza 4-3-3, Samatta acheze force 9 akitikea kulia na atkuwa nyuma ya John Bocco saa zote labda itokee maeneo ambayo yanahitaji individual performance.

Right back atakuwa anapandisha mashambulizi kumsaidia Samatta kushambulia.

Wachezaji kama Ibrahim Ajibu na Mkude ni muhimu sana kama mnataka kuharakisha ushindi
 
kama kocha hakipanga kikosi jiki naimani tutafanya vizuri mashindano ya afcon 2019 vipi wewe unadahni nan atoke nani aongezekee tutoe usimba na uyangaView attachment 1119849
wenzetu wamejipanga si kitoto..hapo Kenya tu jirani...
FB_IMG_15605883533230273.jpeg
 
Back
Top Bottom