Kwa kikosi hiki tunatoboa Afcon 2019

Kwa kikosi hiki tunatoboa Afcon 2019

simba wa dodoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
930
Reaction score
1,024
kama kocha hakipanga kikosi jiki naimani tutafanya vizuri mashindano ya afcon 2019 vipi wewe unadahni nan atoke nani aongezekee tutoe usimba na uyanga
IMG_20190606_084708_387.jpeg
 
Tusijipe matumaini sana,Sisi kufuzu tu inatosha, sioni maajabu yoyote labda miujiza
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Hahahahahahahah hatuko serious na hii AFCON ..utanambia hapa kitakachoenda tokea
 
Hivi upo serious au ? Hahhhah eti tutatoboa khaaaa
 
Hivi H mnazitoa wapi? Uandishi wa namna hiyo nimeona wengi sana humu wamesoma shule moja. “hakipanga” huyu ni mnyama gani?
 
Back
Top Bottom