heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,038 Reaction score 13,358 Sep 1, 2022 #1 Wakuu, Huyu mjamaa ana ofisi mahala ya duka, walikuja watu wakamwomba waweke mali zao wanakuja zipitia Mali zikawekwa nje zina samani ya laki 7 zikapotea ambapo aliechiwa alipata dhArula Je, anawajibika kulipa mahakamani mad
Wakuu, Huyu mjamaa ana ofisi mahala ya duka, walikuja watu wakamwomba waweke mali zao wanakuja zipitia Mali zikawekwa nje zina samani ya laki 7 zikapotea ambapo aliechiwa alipata dhArula Je, anawajibika kulipa mahakamani mad
mseytruu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 339 Reaction score 289 Sep 1, 2022 #2 Utalipishwa kwakuwa ulikabidhiwa.
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,854 Reaction score 38,480 Sep 1, 2022 #3 Kuna maandishi ya kukagua na kupokea mzigo? Huwezi fungwa wala kulazinishwa ulipe kama hapakuwa na makabidhianobya kueleweka
Kuna maandishi ya kukagua na kupokea mzigo? Huwezi fungwa wala kulazinishwa ulipe kama hapakuwa na makabidhianobya kueleweka