Kwa ke wote popote mlipo!

Tena wakati anatoa hiyo 50% awe ameshalipa kodi nyumba, amenunua mchele kilo 50, ameshakwenda Ferry na na Ruvu, freezer ina nyama na samaki wa kutosha na mshahara wa dada ameshalipa.
 
Tena wakati anatoa hiyo 50% awe ameshalipa kodi nyumba, amenunua mchele kilo 50, ameshakwenda Ferry na na Ruvu, freezer ina nyama na samaki wa kutosha na mshahara wa dada ameshalipa.
Mmmmmh hko kukomoana sasa
 
Mi hata asiponipa 50% muhimu akidhi mahitaji muhimu sio mboyoyo mingi
Yeah......cha mcng dushelle ama cyooooo......xo ni...PM.....faasta fastaaaa.....npo ready for u woman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…