Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Maana ya neno/noun 'sadist' ni mtu ambaye anapata faraja na kuburudika nafsini mwake kwa kutoa kauli au kutenda matendo yanayowaumiza watu wengine....Macmillan Dictionary : a sadist is someone who gets pleasure from hurting or being cruel to someone else).
Mimi kwa maoni yangu, matendo na kauli za Magufuli za kuumiza, kubeza, kutweza, kukejeli, kunyanyasa, kufukuza kazi, kudhalilisha, na kusimanga raia na viongozi wenzake ni kama zimeendelea kwa muda mrefu sana kuliko ambavyo tulitarajia, na kwa hakika zinaongezeka day by day...Muhongo amekosea nini? Ombeni Sefue alikosea nini? Mangu kakosea kipi? Nape alikosea lipi?
Isije ikawa tunaongozwa na sadist, God forbid!