britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,063
- 47,048
Katika Pita pita za pale Viunga Fulani nikakutana na mtu muhimu kwenye Habari za nchi kaniambia yafuatayo
Kila mwananchi lazima alipe kodi. Kuna mfumo wa kuleta utaratibu kama wa nchi Soviet zamani, kila mwananchi alipewa kitambulisho, kuanzia wafanya biashara wadogo wadogo, walilipa Russian rube kadhaa,
Nimesikia
1.Machinga wote kusajiliwa nchi nzima kupewa vitambulisho, kila mkoa utapewa target, na wilaya kila kitambulisho itakuwa 5,000
2.Mama liishe wote
3.Boda Boda wote
4.Wenye maduka madogo madogo
5.Wafugaji
6.Wakulima
7.wafanya kazi wadogo wadogo
Hela hiyo itasaidia sana kwenye kuyatatua Matatizo kuliko kuomba omba nje,
Watanzania wapo 50,000,000 Wenye uwezo wa kuzalisha ni, 20,000,000
Hivyo 20,000,000 times 5,000 ni 100,000,000,000 kwa Mwezi, ni hatari
Britannica
Mahesabu hayakukaa vemaKumbe mlipanga iwe 5000? Sasa mbona mmeweka 20,000

Mkuu Ecylopedia Britannica, kwa uzi huu, nimekuvulia kofia!, kumbe ni uzi wa Aug 17, 2016!.Katika Pita pita za pale Viunga Fulani nikakutana na mtu muhimu kwenye Habari za nchi kaniambia yafuatayo
Kila mwananchi lazima alipe kodi. Kuna mfumo wa kuleta utaratibu kama wa nchi Soviet zamani, kila mwananchi alipewa kitambulisho, kuanzia wafanya biashara wadogo wadogo, walilipa Russian rube kadhaa,
Nimesikia
1.Machinga wote kusajiliwa nchi nzima kupewa vitambulisho, kila mkoa utapewa target, na wilaya kila kitambulisho itakuwa 5,000
2.Mama liishe wote
3.Boda Boda wote
4.Wenye maduka madogo madogo
5.Wafugaji
6.Wakulima
7.wafanya kazi wadogo wadogo
Hela hiyo itasaidia sana kwenye kuyatatua Matatizo kuliko kuomba omba nje,
Watanzania wapo 50,000,000 Wenye uwezo wa kuzalisha ni, 20,000,000
Hivyo 20,000,000 times 5,000 ni 100,000,000,000 kwa Mwezi, ni hatari
Britannica
mkuu Mipango ya Katto ni mingi sanaMkuu Ecylopedia Britannica, kwa uzi huu, nimekuvulia kofia!, kumbe ni uzi wa Aug 17, 2016!.
Kiukweli Tanzania tutapaa kimaendeleo.
P.
umeangalia ni uzi wa lini huo haha eti ni upuuzi wa kuleta Jfhuu upuzi ndo wa kuuleta humu jf.marekani ni matajiri lkn bado wanaomba msaada.watati wao wana mifumo na sheria kali za kodi lkn wanaomba misada leo hii iwe tz nchi ya wezi na wapigaji.vitambulisho vyenyewe bado vimeenda kwa matajiri ati wao pia ni machinga.ww hujui yanayoendelea huo uzi wako futa humu jf unatia kichefuchefu.
Watapunguza bei ili ionekane inawajali wananchi kwa lengo la kuihalalisha haramu hii.Kumbe mlipanga iwe 5000? Sasa mbona mmeweka 20,000
nilimvulia kofia kitambo jamaa kuna uzi mmoja aliandika kuhusu wapinzani na masuala ya kimataifa sijui ICC nilianza kuogopa, sijakaa sawa akaandika ya Waitara kuwa naibu waziri, sijakaa sawa nikaona mwingine wa Mkuu wa TISS kwenda ikulu kumdhoofisha Membe basi nikaamua nimvulie kofia kama bwana Evarist Chahali niliona sehem ana comment kuhusu BritaniccaMkuu Ecylopedia Britannica, kwa uzi huu, nimekuvulia kofia!, kumbe ni uzi wa Aug 17, 2016!.
Kiukweli Tanzania tutapaa kimaendeleo.
P.
naukumbuka wa muzamiri kalokola kuwa muhaya anayegombea urais na atatoswa membe na lowassa achukuliwe magufuli hihihihi ngoja nicheke kihutu,nilimvulia kofia kitambo jamaa kuna uzi mmoja aliandika kuhusu wapinzani na masuala ya kimataifa sijui ICC nilianza kuogopa, sijakaa sawa akaandika ya Waitara kuwa naibu waziri, sijakaa sawa nikaona mwingine wa Mkuu wa TISS kwenda ikulu kumdhoofisha Membe basi nikaamua nimvulie kofia kama bwana Evarist Chahali niliona sehem ana comment kuhusu Britanicca