Dhambi ya kurithi Ni mbaya sana, na hasa dhambi hiyo ikifanywa kwa kificho
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona KTN mwanamke mmoja huko Kenya eti kaoa wanaume sita kama sikosei na kawaekea zamu kabisa licha kupigwa sasa hivi ndio wanaolewa kabisa.....Majirani shida ipo
Kuna wakati naangalia KTN, nashindwa kuamini kama matukio yanayoripotiwa ni watu wa Kenya!
Wana mambo mengi sana ya ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Wakenya kuna chengine wanakiweza zaidi ya mbio..?
Wacha wapigwe si mbio wanazo!