Kwa jinsi navyomfahamu Gwajima, atatuambia hadi aliyetengeneza hio photoshop.

Hata akituambia alie ivujisha ile video haita ondoa ukweli kwamba ni mzinzi halafu anapenda kuangalia video chafu za ngono ndio maana anajirekodi, hili limemuondolea sifa ya kuwa askofu, cha maana ATUBU hii dhambi na akikri alifanya kosa, kuja na idea ya kusema alievujisha ni ujinga mwingine.
 
Acheni utahira.. gwajima na akili zake hawezi kufanya kitu kama hicho
 
Endeleeni kufuatilia. Siku zote naamini Gwajima ndio mtanzania mwenye intellijensia kali zaidi ya wote (as a personal)

Au hili la Gwajima limeletwa kama cover up ya habari ya utekaji Mbeya. Ni aibu Mh. Rais kamaliza tu ziara na kijana anatekwa?!!? Hatujakaa sawa Gwajima anakula uroda live!!!?? Kuna namna hapa si bure.
 
Back
Top Bottom