Kwa idadi ya wapinzani bungeni sio busara kumwachia spika madaraka yote mwenyewe

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Kwa idadi ya wabunge wa upinzani bungeni sio bisara spika kuwa na maamuzi yote yeye mwenyewe
Pili kwa idadi ya kura wapinzani walizozipata kwenye uchaguzi 2015 pia sio busara kutokuwa
shirikisha wapinzani kwenye serekali mh rais angeweza kuchagua hata wapinzani watatu kwenye baraza lake la mawaziri
 
Mbona Sitta hakua anachagua?
kanuni zimebadilishwa lini?
nini kimetokea?
 
Wenye busara watakubaliana na hoja yangu lkn wasio na busara watajaribu kupotosha hoja yangu
 
Huna hoja mkuu. Umeelezea mahaba yako. Ungejiuliza Swali la msingi, katika Wabunge 357 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangapi wanatoka upinzani!? Ukipata jibu hapo ndio Ujue kwa nini itakuwa ngumu kutoa hata Naibu Waziri mmoja kwenye awamu ya 5. After all kejeli na dharau dhidi ya Serikali pia inachangia kutopewa kipaumbele kwenye Teuzi nyeti. Tafakari chukua hatua.
 
Hata wewe umekosa hoja mkuu bora ungeongelea katiba yetu mbovu kuwa ndo chanzo mengine yote na wewe umeandika kimahaba
 
Wapinzani wameheshimiwa sana na huu uzi, wana kazi ya kuwaonyesha watanzania thamani yao kwanza kabla hawajafikiriwa kupewa heshima kubwa, Waende wakajenge hoja na sio kupiha makelele
 
hata kama wanachama wa ccm mnawaogopa ukawa haitawasaidia sana sana ndio mnazidi kuwapa kk
 
sijaelewa mkuu. katiba ingekuwa nzuri ingesaidia kuingiza wabunge wachaguliwe wengi wa upinzani au inakuwaje
Katiba yetu inasema rais atateua mawaziri kutoka chama chenye wabunge wengi na kuwa na wabunge wengi inamaanisha chama kinachoongoza kwa idadi ya wabunge hata kama mna tofauti ya mbunge mmoja (simple majority) hapo ndipo tatizo lilipo kuwa 40% ya watanzania waliochagua upinzani wanakosa uwakilishi kwenye serikali
 
Kwa idadi ya wabunge wa upinzani bungeni sio bisara spika kuwa na maamuzi yote yeye mwenyewe
Pili kwa idadi ya kura wapinzani walizozipata kwenye uchaguzi 2015 pia sio busara kutokuwa
shirikisha wapinzani kwenye serekali mh rais angeweza kuchagua hata wapinzani watatu kwenye baraza lake la mawaziri
Amka wewe wapinzani wataambulia Baraza kivuli tu hadi 2050
 
Huna hoja mkuu. Umeelezea mahaba yako. Ungejiuliza Swali la msingi, katika Wabunge 357 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangapi wanatoka upinzani!? Ukipata jibu hapo ndio Ujue kwa nini itakuwa ngumu kutoa hata Naibu Waziri mmoja kwenye awamu ya 5. After all kejeli na dharau dhidi ya Serikali pia inachangia kutopewa kipaumbele kwenye Teuzi nyeti. Tafakari chukua hatua.
Elimu,elimu,elimu
 
Kwa idadi ya wabunge wa upinzani bungeni sio bisara spika kuwa na maamuzi yote yeye mwenyewe
Pili kwa idadi ya kura wapinzani walizozipata kwenye uchaguzi 2015 pia sio busara kutokuwa
shirikisha wapinzani kwenye serekali mh rais angeweza kuchagua hata wapinzani watatu kwenye baraza lake la mawaziri
Chupi imeanza kubana!mliambiwa ikulu bado jielekezeni kupata wabunge wengi,mkaishia kuzungusha mikono.
Kanuni zinazompa madaraka spika zinatungwa na wabunge,kwa hiyo kama ni upinzani wapo wachache usitegemee kupata unachotaka,vivyo hivo kwa rais kuteua wapinzani inabidi katiba ibadilishwe,,na kwa idadi kiduchu ya wapinzani hawawezi kuzuia au kubadili chochote ndani ya katiba
 
Back
Top Bottom