Kwa huu wizi mtandaoni hatari

mm haraka haraka nikamtumie huyu dada sh 10,000 salio kurudi nimebakia na sh 350 daaah kuwapigia simu haipatikani nikatuma meseji inapokelewa
Pole ila umepata somo the hard way. Next time wakikwambia wamekosea, kuwa busy na mambo yako na watarudisha muamala wao wenyewe
 
Dah! Mkuu hao ni matapeli mimi sinaga huruma nao halafu na ukiangalia hali ya sasa vyuma kukaza umekosa zali mzee acha ushamba hapa mjini
 


Mkuu, mimi nimesikia tu kwa jamaa alinidokeza kuwa hao wezi wanashirikiana na watu wa M-pesa. Mungu ndie anajuwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…