majitta one
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 204
- 14
Kasems ana dvn iii-22 na kaweka mchanganuo wa masomo alofaulu.
Kwa hayo matokeo unapata mkuu. Me mwenyewe nimepiga pale arusha tech. Fani ya mechanical engineering. Na mwaka huu naenda kuchukua jiwe.
Fanya application d.i.t, a.t.c na mist am sure utapata chance tena direct entry kwa hayo matokeo yako.
Umuvurugwaaa
Ss utautumiaje huo mkopo kama haupew mkonon@snipa