Kwa hizi picha utaelewa tumetoka wapi na tunaelekea wapi

Kuna utofauti mkubwa unapatikana kwenye ishara za mikono na pia sura zao, bashasha za sura zao na mikopo inaonyesha tabia za watu hao walivyo..!...
 
bro hujaachaga vituko tu?
I wish ungenisimulia hii live.
Hahahaaaaaa
Hata hivyo una moyo,angekuwa mwingine 'pambano' lingevunjika.
Thubutu, siwezi kupoteza mechi sababu ya kiba wewe, tena ndo nikaanza chekechax2 cheketua! Kwa kubana pua naskia oooh kibaa so uniacheee!
 
Wazungu ndio huwa wanaita internal conflicts eti???
Ukiwa na aman moyoni hukasiriki kasiriki hovyo ht siku za kuishi zinakua miiingiiii
Kweli kiongozi nakubaliana na wewe. No matter mjapan Mungu akampenda zaidi kama ndoto ya Trump wa Rchuga.
 
Naona sura ya Rais wa awamu ya tano anatimiza mikakati ya awamu ya kwanza kwa kutumia speed mahususi... au speed ya mzimu wa baba wa taifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom