Kwa hizi calculation mzee ruksa alikusanya pesa nyingi kuliko(kodi) kuliko Magufuli?(1.2)

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,663
59,000
HONGERA KWA MZEE RUKSA....Hii Kodi Ya Sh Trillion 1 .2 Kwa Mwezi Ni Sawa Na Us-dollers.600'000'000.(DOLA 1 SH 2'000)MWAKA HUU 2016...WAKATI WA MZEE RUKSA alikuwa anakusanya sh.500,000,000,000/=sawa na usa-dollers l,000,000,000/=(MWAKA 1995 DOLA 1 SH.500).KTK Haya Ni Wazi Kodi Aliyokuwa Anakusanya Mzee Ruksa Ktk Mahesabu Ya Leo Ni Sh 2,000 Zidisha Mara 1000,000,000= 2'000'000'000'000' YAANI TRILION 2, Maana Yake Kodi Ya Sasa Mzee Ruksa Aliizidi Kwa Billioni 700. Hongera Sana Babu Mzee Ruksa Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Pili,ulifanya Kazi Kubwa Sana, Ulikusanya Kodi Vizuri Wakati Hata T.R.A Ilikuwa Haipo..,.
 
Ngoja waje wafia magu..
 
Mwacheni Baba Hussein apumzike msimuingize kwenye Mijadala ya kisiasa!
Huyu ni Mzaliwa wa Mkuranga aliepata Ngekewa ya kuwa Rais wa Muungano na Zanzibar ni ngumu hii record kufikiwa.
 
Hivi enzi hizo walikuwa wanakusanyaje kodi?
 
Wanaosifia makusanyo ya sasa ni wale wote wasiojua thamani ya $ vs tsh ( na hiyo hela ndio anakusanya na madeni ya nyuma ) labda kama wanampiga kijembe mzee wa Msoga maana yeye ndio alikuwa chini ya hiyo hela.
 
Mwacheni Baba Hussein apumzike msimuingize kwenye Mijadala ya kisiasa!
Huyu ni Mzaliwa wa Mkuranga aliepata Ngekewa ya kuwa Rais wa Muungano na Zanzibar ni ngumu hii record kufikiwa.
Kwani mkuu ndo umeshtuka usingizin ama
 
Adjusting time value for money you need either to compound (compounding factor=(1+interest)^time) or discounting (discounting factor=1/(1+I)^t)

Kama usipojali muda katika hesabu zako then unaweza kuwa na mjumuisho uliufanya mkuu
 
kwani hiyo rate ya tshs 500 per 1usd si ilikua kile kipindi ambacho exchange rate ilikua sio floating mkuu, na demand ya usd haikua kubwa kama sasa, mimi naona ungetumia formula ya inflation kukadiria sh 1 ya 1995 ni sawa na sh. ngapi ya 2016, maana ukitumia exchange rate utakua umepuuzia factor nyingine lukuki
hapo nao a njia accurate kidogo ingekua ni hii

1.1^20
hapo 20 ni idadi ya miaka kua zia 95 hadi 2015
hiyo 0.1 ni annual inflation rate ili kupata sh moja ya 1995 ni shilingi ngapi ya 2015

hesabu hapa inakuja
1 tshs ya 1995=6.73 tshs ya 2015
kwa hiyo 0.5 tr ya 1995 ni sawa na 6.73x0.5 tr ya 2015 ambayo inakuja ni sawa na trilioni 3.37tr za mwaka 2015

KITU AMBACHO SIO KWELI NA HAKIINGII AKILINI KWA KUA

mwinyi asingeweza kukusanya bilioni 500 kwa mwezi kwa kua kikwete alimkuta mkapa akikusanya bilioni 177 mwaka 2005 yeye akasogeza hadi bilioni 900 kwa mwezi mwaka 2015
mtoa mada amekopi vibaya, labda ilikua kwa mwaka sio kwa mwezi
 
Ila mimi nakataa, hizo kodi alizikusanya toka wapi? Makampuni makubwa yalikuwa bado hayajaimarika mf. Azam na Mo Dewji pia kampuni zingine na wafanyabiashara wengi walikuwa bado, kodi hiyo ilitoka wapi??
 
Hii nchi akiongoza Muislam inapaa kiuchumi ila ngoja tumtazame mzee Magu maana nae moto wake umeanza vizuri.
 
Wanaosifia makusanyo ya sasa ni wale wote wasiojua thamani ya $ vs tsh ( na hiyo hela ndio anakusanya na madeni ya nyuma ) labda kama wanampiga kijembe mzee wa Msoga maana yeye ndio alikuwa chini ya hiyo hela.
Kuna vitu kama huvijui unaweza ukajiaibisha mbele ya kadamnasi. Ebu tulia kwanza!
 
Back
Top Bottom