Juzi mtaani kwetu kuna kabinti kanasoma sekondari kagundulika kuwa na mimba alipoulizwa na wazazi juu ya aliyempa akawajibu kuwa ni kwa hisani ya watu wa marekani!!
Sjui kwa nini unashangaa! Juu ya kwamba Tanzania inahesabika kuwa nchi yenye rasilimali nyingi sana ambazo zikitumiwa vizuri zaweza kuwa kwamuwa Watanzania toka kwenye dimbwi la umaskini, lakini bado tunasubiri tupewe ruhusa ya kuzitumia. Na hata kuzitumia ni lazime waanza hao wanaotoa hayo matangazo wazimalize ndipo watanzania wapate makombo. Wake up brother.