Wewe ni she/he kama ni she nakusamehe kwani yawezekana ni wakati wako kwenda kwenye apolo kama ni he basi unaiga USB port kwa kupenda kuingiziwa device.
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source itv.

Kumbe maendeleo yanakwamishwa makusudi maeneo yote ya upinzani. Nadhani counter attack yake ni kuanza kuhimiza wananchi wote wasiounga mkono CCM wasilipe kodi. Mbinu kama hizi zilitumika kumdhoofisha mkoloni hadi akasalimu amri. Nadhani kwa vile tuna ushahidi huu ni vizuri kugoma kulipa kodi kisiri siri na wazi wazi kulingana na mazingira.Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source itv.
BARAZA LA MAWAZIRI
(serikali ya JK)
1. Wassira
2. Merry Nagu
3.
AshaDii, kama kutamka maneno kama hayo ni uthibitisho wa ukichaa wake, nani huko CCM hana kichaa? Mbona kila siku wanatoka na jipya na wapo watu wanawapigia makofi hadi huku JF, sijui hao nao tuwaiteje! Eti wananchi wa Arumeru watozwe kodi halafu wahujumiwe kimaendeleo na serikali iliyoko madarakani, kisa? Wametumia uhuru wao na haki yao ya kumchagua mwakilishi wamtakaye!Siamini kua katamka hivo wazi kabisa kweny TV... Labda kama ana Kichaa....
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source itv.
Kweli serikali yetu
ina laana
kila waziri wa jk
anaongea pumba.
Alianza mkapa kwa
kutukana akafata
wasira na sasa nagu
hujaweka wabunge
wao kazi yao kuongea
urojo 2. Mmesha
laaniwa na bado.
Yaani hata mimi nimecheka kweli nimeona kwenye itv.
kweli ccm maji yameshafika shingoni.
Wivu tuuu unawasumbua mwaacheni mama yetu!!
Hawa jamaa wabaya sasa kama walikuwa hawamtaki Siyoi agombee ubunge si wangemwambia tu Siyoi achomoe jina lake mapema kuliko kumfanyia vituko namna hii!! Ningekuwa Siyoi, siku ya kufunga kampeni zangu ningeutangazia umma wa watanziani kuwa najitoa kugombea ubunge na kuhimiza wana Arumeru wampe kura zote Nassari.