Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,330
- 35,863
Nilitarajia yangekuwa ya kijani au njano na chupa yake ingekuwa na rangi hiyo hiyo.Yanga yaanzisha biashara ya maji ya kunywa
Mmechelewa wazee wa zengwe. Nawashauri endeleeni kutengeneza mazengwe tu, biashara hamuiwezi.
Mmechelewa wazee wa zengwe. Nawashauri endeleeni kutengeneza mazengwe tu, biashara hamuiwezi.
Hata mimi naisubiria sana hiyo siku nije kumuona simba jike akiliwa TIGO na hunter wa jangwani,,,ingekuwa poa sana kama angetiwa vitatu tu!!big up! ntakuwa nakunywa sana hayo maji,cku tunayo mpakata mnyama nanunua kwa ajil ya kuogea,kuoshea vyombo hd kudeki
Mmechelewa wazee wa zengwe. Nawashauri endeleeni kutengeneza mazengwe tu, biashara hamuiwezi.
Hata mimi naisubiria sana hiyo siku nije kumuona simba jike akiliwa TIGO na hunter wa jangwani,,,ingekuwa poa sana kama angetiwa vitatu tu!!
mbeya cityWaliowahi ni kina nani?
hao kwa kuongea huwawezimnasahau haraka sana tatizo lenu!5 then 3!