Kwa hili wanawake mnachosha

Kwa hili wanawake mnachosha

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
408
Reaction score
182
kwanini
wanawake mnakuwa na roho mbaya kiasi hiki? Leo nataka mfunguke kwanini
mnashindwa kuoneshana upendo kati yenu. Utakuta mama mjamzito au mama
mwenye mtoto anasimama kwenye gari wakati wanawake wenzake wemekaa mbaya
zaidi wanajifanya kama hawamuoni hapa bila mkaka kumpisha ujue
atasimama mpaka mwisho wa safari. HIVI KWANINI WANAWAKE HAMPENDANI?
 
Halafu shuhudia siku mmoja wao akigombea urais/ubunge/udiwani,kura zote wanampa za Hapana,yaani....vichwa vyao wanavijua wenyewe...'adui wa mwanamke ni mwanamke'.
 
Halafu shuhudia siku mmoja wao akigombea urais/ubunge/udiwani,kura zote wanampa za Hapana,yaani....vichwa vyao wanavijua wenyewe...'adui wa mwanamke ni mwanamke'.

we ushashuhudia hayo?
 
Kusimama ni sehemu ya mazoezi. Inawezekana yule aliyekaa ni mgonjwa na ndio maana hajampisha huyo mjamwepesi.
 
Halafu mnatupa lawama.
Sisi ndio dada na mama zenu,
yatupasa mwanamke akiingia sehemu yoyote yenye mjumuiko,
endapo kuna mwanamme amekaa yabidi ainuke sisi tukae.
 
Halafu shuhudia siku mmoja wao akigombea urais/ubunge/udiwani,kura zote wanampa za Hapana,yaani....vichwa vyao wanavijua wenyewe...'adui wa mwanamke ni mwanamke'.
anne kilango alipitaje yule kama sio sisi mweh!
 
Kusimama ni sehemu ya mazoezi. Inawezekana yule aliyekaa ni mgonjwa na ndio maana hajampisha huyo mjamwepesi.

Tehtehtehteh wakod tax. ila kiukweli kama mama anamtoto mchanga huwa napisha seat, na mjamzito pia inategemeakama kitumbo kiduchu aaah acha afanye zoez.
 
Pia mwanamke akiendesha gari huwa hana tabia ya kupenda kuruhusu watu wavuke barabara,,..
 
Halafu hata akiwa na mwanaume mwingine huwa anaficha..hivi kwnn mnakuwa hv nyie wadada?
 
halafu shuhudia siku mmoja wao akigombea urais/ubunge/udiwani,kura zote wanampa za hapana,yaani....vichwa vyao wanavijua wenyewe...'adui wa mwanamke ni mwanamke'.

Bishanga sina comment zaidi ya hapo bold, wanawake ni watu wa ajabu sana!
 
Last edited by a moderator:
Adui wa mwanamke ni mwanamume!

Mwanamume huamua kuwapanga wanawake wengi ili apate attention na wanawake wachukiane. Muwe waaminifu kwa mwanamke mmoja mmoja uone kama tuta'chukiana'!
 
Halafu mnatupa lawama.
Sisi ndio dada na mama zenu,
yatupasa mwanamke akiingia sehemu yoyote yenye mjumuiko,
endapo kuna mwanamme amekaa yabidi ainuke sisi tukae.

Nyie hata dereva mtakuja muomba seat!
Mkae nyie dereva asimame!
 
Back
Top Bottom