GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,587
- 127,935
Republicans wakimchagua Trump ujue Clinton kapata uchochoro.Kweli waandishi wetu bado sana, mi mwenyewe huwa siwaelewi.
Asante kwa kututonya maana wengi wetu hatuwezi kuyajua yapi maswali ya msingi.
msaidie huyo Trump ila namuombea ashindwe japo nahisi maombi yangu hayatafaa
Hata wewe mleta mada ni sawa na hao unaowaponda! Mambo ya Trump Duck; yanahusu nini mada yako ya msingi kama sio kujishebedua na makidai yasiyo na maana!! Kuwa US sio big deal; watu wameishi huko mpaka wamepata wajukuu na hawasemi; sembuse wewe kichanga! BsNimejisikia Vibaya Sana Kama Siyo Mno Na Kitendo Cha KIPUUZI Kabisa Cha KIULEDI Kilichofanywa Na WAANDISHI Wa HABARI Wa Kitanzania Hasa Wale WALIOKUWEPO Ktk Press Conference Ya Waziri Nape Nnauye Usiku Huu Pale Dodoma Akitoa UFAFANUZI Wa Kilichotokea Bungeni Hadi Kusababisha Mtafaruku.
Kuna Wakati Rais Wetu MSTAAFU ( Sitamtaja ILA Waandishi Wa Habari Mtamkumbuka ) Aliwahi Kuwaambia WAANDISHI Wa HABARI Wa Tanzania Tena Pale JNIA Akiwa Anatoka ULAYA Kuwa Nanukuu " Most Of Journalists In Tanzania Are Very Foolish And I Think They Should Go Back To School To Learn How To Ask Questions ". Na Alifanya Hivyo Baada Ya KUULIZWA Swali La Kitoto Kabisa Na Mwandishi Wa Habari Ambaye Kwa Bahati Nzuri Sana Hata Humu Humu JF Tu Huwa Yupo 24/7 Na Ni MAARUFU Mno ( Kwa Heshima Yake SITOMTAJA ) Ila Kama Atausoma Huu UZI Atajua Kuwa Ni Yeye. Huyu Mwandishi Wakati Huyo Rais Mstaafu Anataka Kuingia Ktk Gari Lake Na Kuondoka Huyu Mwandishi Akamfuata Na Kumuomba Amuulize Swali Ndipo Nakumbuka Kwa Kuheshimiwa Huyu Rais Mstaafu Akamkubalia Na Angalia Swali ALILOMUULIZA Nanukuu " Mheshimiwa Rais Pole Sana Kwa Safari Na Sijui Unaweza Kutuambia Safari Yako Ya Masaa 6 Uliyoianza Kutoka Ulaya Hadi Kufika Hapa Umeionaje! " Mwisho Wa Kunukuu.
Sasa Hiyo Ilikuwa 9 Na 10 Ni Hii Ya Muda Mfupi Tu Huko Mkoani Dodoma Ambapo Waziri Nape Nnauye ALIULIZWA Maswali Ambayo Nitayaweka Hapa Baadhi Kisha Muyaone Je TANZANIA Tuna WAANDISHI WA HABARI WA UHAKIKA KWELI au Tuna " MFANO TU WA WAANDISHI WA HABARI? " Maswali Yenyewe Ni Kama Yafuatavyo:
Kwa Maswali Hayo MAKUU Naomba Uyapime Halafu UJIULIZE Je Tanzania Tuna Serious Journalists Kweli? Nilikuwa Najiuliza Kwanini WAANDISHI WA HABARI WA KENYA, UGANDA NA RWANDA Achilia Mbali Wa ULAYA Wanawadharau Sana WAANDISHI WETU WA HABARI WA TANZANIA.
- MHESHIMIWA WAZIRI KAMA SUALA NI KUZUIA WATU WASIPOTEZE UFANISI WA KUFANYA KAZI MAKAZINI KWA KUANGALIA BUNGE MUDA WOTE BASI KWANINI SERIKALI ISIPITE KTK KILA OFISI NA KUONDOA TELEVISION SCREENS ZOTE?
- MHESHIMIWA WAZIRI KAMA UNASEMA SERIKALI INABANA MATUMIZI NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UENDESHAJI HIVI HUU MKUTANO NA SISI UNAOUFANYA SASA UNALIPIWA NA NANI?
- MHESHIMIWA WAZIRI HUONI KAMA TBC1 KUTOONYESHA " LIVE " BUNGE KUTAVIATHIRI NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI KAMA STAR TV, AZAM NA ITV?
- MHESHIMIWA WAZIRI NASIKIA MWAKA JANA MLITENGA KARIBIA SHILINGI BILIONI 6 JE ZILITUMIKAJE?
Karibuni Kwa KULIJADILI Hili ILA Kwa Wale FRIENDS Zangu, FOLLOWERS Wangu Na CRITICS Wangu MLIOTUKUKA Kama Akina Nifah, UncleBen Na Mussolin5 Na Wengineo Wote Kuanzia Tarehe 28 January Mpaka Hapo Nitakapowatangazieni Upya Mabadiliko Mengine Nitakuwa Sasa Napatikana Humu JF Kunzia Saa1Hadi Saa3Asubuhi Kisha Saa12Hadi Saa3Usiku Na Mwisho Kuanzia Saa5Hadi Saa7Usiku. Kama Mnavyojua Kuwa Sasa Nipo Huku Kwenye BARAFU MAMTONI ( Marekani ) Hivyo Muda Mwingi Nakuwa Namsaidia Kazi Za Kisiasa Rais Mtarajiwa Wa Marekani Donald Trump Hivyo Najikuta Muda Wangu Ni Finyu Sana Kuwepo Humu. Nawaombeni Tu Mnivumilie Na Wote Zingatieni KUNAKOTUKUKA Hiyo Mida Yangu Mipya Ya Mimi Kuwepo Humu. Mungu Ibariki Tanzania!
Kwa hiyo waandishi wote wa habari wa Tanzania ni wafuasi wa huo ukawa?Waandishi wetu niliwatoa maana siku walipoitwa kwenye press conference ya Dr Slaa, badala yake wakaenda kama UKAWA. Hata siku ya press conference ya Gwajima walitia aibu sana. Ilikuwa ni kama mkutano wa ndani wa UKAWA
Nadhani hujamuelewa. Mleta mada hapa ana maanisha kuwa Tatizo kubwa la waandishi wetu wa habari hawataki kuumiza akili zao kuuliza maswali ambayo yatamfanya mtu anaejibu kuumiza akili katika kufikiria kuyajibu kiusahihi. Kwa kifupi maswali yao mengi ni mepesi sana na 'too direct' hata mjibuji hapati shida ya kuyajibu inakuwa kama kawaandalia maswali kawapa wayajibu. Vile vile suala la waandishi wanapokuwa na nafasi ya kuwauliza wanasiasa wanaenda kama ni wa upande unaowakilisha 'opponent' badala ya kuwa 'neutral' waweze kujenga hoja zaidi na maswali yenye kuumiza kichwa katika kufikiri kuyajibu.Kwa hiyo waandishi wote wa habari wa Tanzania ni wafuasi wa huo ukawa?
Soma tena nilichoandikaKwa hiyo waandishi wote wa habari wa Tanzania ni wafuasi wa huo ukawa?
Kwa hiyo waandishi wote wa habari wa Tanzania ni wafuasi wa huo ukawa?
Nyinyi ndio ma nigger mnao dhalilishwa huko kwa kuwa na akiri finyu sana,yani very very low iq.Nimejisikia Vibaya Sana Kama Siyo Mno Na Kitendo Cha KIPUUZI Kabisa Cha KIULEDI Kilichofanywa Na WAANDISHI Wa HABARI Wa Kitanzania Hasa Wale WALIOKUWEPO Ktk Press Conference Ya Waziri Nape Nnauye Usiku Huu Pale Dodoma Akitoa UFAFANUZI Wa Kilichotokea Bungeni Hadi Kusababisha Mtafaruku.