The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,817
Nawasalumu wakuu,
Kumekuwa na tatizo moja kwenye kazi zinazotangazwa na utumishi. Unakuta tangazo limetolewa kwamba tunahitaji watu kwenye kazi fulani, mfano research assistant na wanaorodhesha degree wanazohitaji pamoja na wanaweka uwanja wa other related fields.
Then watu wa course mbali mbali wanaomba kazi na utumishi wanawaita wote ambao wanavigezo ingawa wamesoma course tofauti.
Tatizo ni siku ya interview, unakuta yule msimamizi anasema watu wa course flani na flani hamtaruhusiwa kufanya written interview kwahiyo muondoke na wa kweli wanawazuia kuingia kwenye mtihani.
Sasa kinachinishangaza mimi ni kwamba kama ulikuwa haukidhi vigezo, nikwanini walikuita
Mfano kuna interview ilifanyika kule arisha kwenye institute moja ambayo iliwatumia utumishi kutangaza kazi na kuendesha interviews. Sasa kuna watu walitoka mtwara mpaka Arusha, lakin wakaambiwa kwamba course yao haikidhi vigezo na hawakufanya peper kabisa. Sasa unajiuliza kwanini walikuwa shortlisted kama course yao hailingani na kazi iliyotangazwa? Na je gharama zao ninanj anawarudishia?
Nawasirisha