Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Ndugu wanajamvi,
Nimeona ninene la kwangu kuhusiana na kampuni ya Simu TECNO.
Nimekuwa mtumiaji wa simu za Tecno kwa muda mrefu na hasa kwa hizi Smartphones tangu N3, P3 ........!
Lakini katika matoleo yote nilowahi kutumia leo naomba niwapongeze hadharani kwamba TECNO L6 wameitendea haki kwa suala zima la charge.
Tecno L6 ina uwezo wa kukaa na charge kwa muda mrefu ukilinganisha na matoleo mengine.
Hongera sana TECNO, hongera TECNO L6.
Ni kweli mkubwa mimi nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa simu na vifaa vya apple tatizo kubwa la hizo iPhone ni charge tuu, ilinilazimu kununua hii simu ya Techno L6 kutokana na kukaa na chaji muda mrefu, kwa kweli Tecno kwa hilo nawapa pongezi ingawa nilikuwa naziponda sana hizo simu tokea zilipoanza kuenea
haijaniingia akilini kuwa unaweza kutoka apple hadi tecno.kauli yako nailinganisha na shetani alivyotupwa toka mbinguni hadi kuzimu.aliona mbinguni hapamfai
hamna Simu hapo...
haijaniingia akilini kuwa unaweza kutoka apple hadi tecno.kauli yako nailinganisha na shetani alivyotupwa toka mbinguni hadi kuzimu.aliona mbinguni hapamfai
Uzuri wa hizi unahakika kuwa ni brand new na si fake wakati hizo zingine mkuu unaweza ukapigwa kwa kuuziwa fake wa bei original, by the way tuishi kulingana na uwezo yaani ukibarikiwa kuwa na fungu la kutosha nunua Samsung au Apple n.k lakini kama vipi hata TECNO si mbaya sana kwani simu unataka ukae nayo miaka 5 imekuwa scania hiyo au fusoMimi nimetumia tecno aina tatu tofauti nimeanzia p3, m5, na sasa h6 na sijakutana na tatizo lolote tatizo wabongo hatuwezi kutengeneza hata tochi ila kwa kuponda hatujambo.
Ni kweli mkubwa mimi nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa simu na vifaa vya apple tatizo kubwa la hizo iPhone ni charge tuu, ilinilazimu kununua hii simu ya Techno L6 kutokana na kukaa na chaji muda mrefu, kwa kweli Tecno kwa hilo nawapa pongezi ingawa nilikuwa naziponda sana hizo simu tokea zilipoanza kuenea
pole Sana kwa kuwa mkereketwa wa tecno mkuu, maana umekuwa mtumwa wa tecno Tena zile za 50000 kama P3.ukipata pesa nunua brand nyingine Kama htc, experia, Samsung nk. utajutia kuipa tecno sifa
Nikiangalia screenshots zako natathimini kuwa simu yako haikai na chaji hata kwa 24 hours!!!
Kila imburi hula kwa urefu wa kamba yake mura Ilisorokobwe. Akipata fweza atakuwa na vipaombele vingine, siyo simu. Techno yatosha.pole Sana kwa kuwa mkereketwa wa tecno mkuu, maana umekuwa mtumwa wa tecno Tena zile za 50000 kama P3.ukipata pesa nunua brand nyingine Kama htc, experia, Samsung nk. utajutia kuipa tecno sifa