Bongo ni kichwa cha mwendawazimu kuanzia raisi mpaka asilimia 99 ya watanzania. Nasema hivi kwa sababu nashindwa kupata jibu kila nikijiuliza, inakuwaje watanzania wanaridhika na maisha haya ya huduma mbovu? Yaani kupewa umeme kwa mgao bila excuse toka kwa shirika la huduma eti mtanzania anaona dili. Think of this, una vitu muhimu kwenye friji halafu unakaa toka asubuhi mpaka jioni huna umeme, ukiharibikiwa na vitu vyako hao Tanesco watakulipa? Samahani lakini inabidi hii nchi ipunduliwe ili ujinga ututoke. Si mnaona Rwanda jinsi ilivyo hivi sasa, wameendelea na wanatupita kimaendeleo na yote hii baada ya mapinduzi. Hapa naandika huu ujumbe, unaanbiwa Rwanda hakuna rushwa na ukitoa rushwa wewe mtoaji unakamatwa na kuchukuliwa hatua. We don't need to hear eti ohhh watanzania ni wapole na wavumilivu, huu upumbavu umepitwa na wakati. We need a change NOW!