mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 977
- 176

Natangaza rasmi kutomtambua huyu waziri wa mgao wa umeme w.ngeleja na ninaapa kwa jina la mungu tukikutana mi na wewe ni maadui na hata kwa bomu ntakulipua msh...nzi mkubwa wewe....huwezi kutufanya watz wote ni kama kuku anaedanganywa na punje za maindi kisha anadakwa na kuchinjwa....naichukia sana tanesco na kuchukia sana ngeleja sio tu kwa kukosa umeme lakini kwa kuendelea kudanganya uma eti kwa kuwa si wafatiliaji na wala si watu wa ku react....
Avatar yako inamfaa sana Mwita25 a.k.a kenge man.Duh wewe kweli unaweza kujilipua ila huo si utamaduni wetu.

Kuwa na subira wewe, mambo mazuri hayataki haraka.
Suluhisho ni kununua tu majenereta ya kutumia majumbani mwetu maana inaonekana Ngeleja hana suluhisho la hili tatizo kwa sasa...
mmmhh@!!!Natangaza rasmi kutomtambua huyu waziri wa mgao wa umeme w.ngeleja na ninaapa kwa jina la mungu tukikutana mi na wewe ni maadui na hata kwa bomu ntakulipua msh...nzi mkubwa wewe....huwezi kutufanya watz wote ni kama kuku anaedanganywa na punje za maindi kisha anadakwa na kuchinjwa....naichukia sana tanesco na kuchukia sana ngeleja sio tu kwa kukosa umeme lakini kwa kuendelea kudanganya uma eti kwa kuwa si wafatiliaji na wala si watu wa ku react....