Kwa hili Ngeleja sintokusamehe...

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Natangaza rasmi kutomtambua huyu waziri wa mgao wa umeme w.ngeleja na ninaapa kwa jina la mungu tukikutana mi na wewe ni maadui na hata kwa bomu ntakulipua msh...nzi mkubwa wewe....huwezi kutufanya watz wote ni kama kuku anaedanganywa na punje za maindi kisha anadakwa na kuchinjwa....naichukia sana tanesco na kuchukia sana ngeleja sio tu kwa kukosa umeme lakini kwa kuendelea kudanganya uma eti kwa kuwa si wafatiliaji na wala si watu wa ku react....

Kuwa na subira wewe, mambo mazuri hayataki haraka.

Utabiri wa hali ya hewa tunategemea kuwa na mafuriko, nina imani mabwawa yatajaa,

Hata hivyo TANESCO imeshachukua bil 350 kwaajili ya kuendelesha gas na diesel plants kutakuwa na excess reserve na capacity charge ya kufa mtu,

Kukabiliana na ukata, itabidi shirika liombe tarrif increase....

Kwa sasa transmission lines zimezidiwa na mzigo katika msongo wa 220KV etc kuongeza uzalishaji umeme kupitia kwenye mifumo hiyo chakavu inaongeza upotevu wa umeme na voltage problem, hivyo tutaongeza generation bila kuongeza transmission....

Hayo ndio mambo mazuri tunayoyasubiri kwa hamu

Kidumu chama cha Magamba!

Suluhisho ni kununua tu majenereta ya kutumia majumbani mwetu maana inaonekana Ngeleja hana suluhisho la hili tatizo kwa sasa...

lol mgao kitu mwaka mzima, chezea serikali ya magamba weye, bado mgao wa roho zetu tu jamaniiiiii

serikali ndo inunue kufidia gharama zetu za kuweka liumeme lao
ambalo halina kazi na sisi

Suluhisho ni kununua tu majenereta ya kutumia majumbani mwetu maana inaonekana Ngeleja hana suluhisho la hili tatizo kwa sasa...

Natangaza rasmi kutomtambua huyu waziri wa mgao wa umeme w.ngeleja na ninaapa kwa jina la mungu tukikutana mi na wewe ni maadui na hata kwa bomu ntakulipua msh...nzi mkubwa wewe....huwezi kutufanya watz wote ni kama kuku anaedanganywa na punje za maindi kisha anadakwa na kuchinjwa....naichukia sana tanesco na kuchukia sana ngeleja sio tu kwa kukosa umeme lakini kwa kuendelea kudanganya uma eti kwa kuwa si wafatiliaji na wala si watu wa ku react....
mmmhh@!!!

tanesco janga la taifa,wakuu naomba mnijuze mfano umejenga kibanda chako sehemu ukataka kuwekewa umeme sasa nguzo hazijafika ktk eneo lako wanakwambia ununue nguzo then unafanya vile wanavyotaka je nguzo zinabaki kuwa mali yako kwasababu umenunua au inakuaje hapo maana kuna majirani wanaweza kujakuchukulia hapo ulipoleta ww yaani wanaskilizia mteremko kwa wenye ufahamu na hili mnisaidie kuna kitu kimekaa hapa ktk koromero nataka kutoa

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom