kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
Hilo ndilo swali ambalo JK alimtwanga Tundu Lissu jana, pale Lissu alipomuomba Rais asitishe shughuli za Bunge kwa madai kuwa limekosa muelekeo. Rais akamwambia: "LISSU wewe ndiyo ulitoa pendekezo Bungeni kuwa madaraka ya Rais yaishie kuteua Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na baada ya hapo asiwe na mamlaka yoyote ya kuingilia Bunge, leo unataka nilisitishe, kwa sheria ipi?" LISSU kichwa chini.