Kwa hili Lissu umenikera sana

Kwa hili Lissu umenikera sana

Hilo ndilo swali ambalo JK alimtwanga Tundu Lissu jana, pale Lissu alipomuomba Rais asitishe shughuli za Bunge kwa madai kuwa limekosa muelekeo. Rais akamwambia: "LISSU wewe ndiyo ulitoa pendekezo Bungeni kuwa madaraka ya Rais yaishie kuteua Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na baada ya hapo asiwe na mamlaka yoyote ya kuingilia Bunge, leo unataka nilisitishe, kwa sheria ipi?" LISSU kichwa chini.

inamaanisha bunge nge litaendeshwa hadiwajumbe wote watakapotoweka duniani maana hakuna wa kuliahilisha?
 
Haya uliyotuandikia hapa yamefanyika wapi na lini?

Kama kuna ukweli katika haya basi JK anaendelea kuwa mnafiki kama ilivyo ada yake...

Na kama kweli anaitambua kuna sheria zinazolilinda BMK, kwa nini mwanzo wa yote aliingilia uhuru wa bunge siku aliyopewa fursa ya kuhutubia bunge?

Hivi sheria ya uendeshwaji wa BMK ilitungwa na Tundu Lissu?

Hilo ndilo swali ambalo JK alimtwanga Tundu Lissu jana, pale Lissu alipomuomba Rais asitishe shughuli za Bunge kwa madai kuwa limekosa muelekeo. Rais akamwambia: "LISSU wewe ndiyo ulitoa pendekezo Bungeni kuwa madaraka ya Rais yaishie kuteua Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na baada ya hapo asiwe na mamlaka yoyote ya kuingilia Bunge, leo unataka nilisitishe, kwa sheria ipi?" LISSU kichwa chini.
 
Ushauri wa LISU ndio ulioifanya CDM ipumulie MASHINE sasa..
 
kwani wale ni vichaa kama ukawa hadi wajadili kupindua? pili wewe uliwahi kuwaza kuwa ipo siku utampindua baba yako? kibwetele mkubwa wewe, wasalimie UKAWA.

Jibu sheria inayompatia jk fursa ya kuliongezea bunge la katiba muda. Kama ipo, itaje tukaisome. Hivi kweli wewe unaridhika na jinsi 6 anavyofanya ktk kutupatia katiba!? Au unanogesha mazungumzo tu hapo jamvini!?
 
Lilipo sitishwa kupisha bunge la budget ni sheria gani iliyo tumika? Sheria haimruhusu na pia haimkatazi!

Sheria hiyo hiyo inayomuzuia Rais kuingilia Bunge Maalum la Katiba pia imetoa maelekeze ni BMT lifanye pale linapoona kuna haja ya kuongezewa muda wa kujadili. na si hivyo tu limetoa ukomo wa kufanya hivyo pale inapolazimu kufanya hivyo.

Hivyo kwa sababu muda wa kujadili uliisha na wasingeweza kuingilia muda wa Bunge la Bajeti, ilikuwa lazima wamuombe Rais kwa mujibu wa sheria kuongezewa muda wa kuendelea kujadili wakitoa pendekezo iwe baada ya kumalizika Bunge la Bajeti.
 
Lissu anatakiwa ajifunze kusema kiasi na kusikiliza zaidi
 
Usisahau pia mamlaka ya kuongeza muda na posho anao ila mamlaka ya kusitisha hana, huyo ndy JK,
mbunge flani aliwahi kusema Tz viongozi ni walaghai na vigeu geu!!!!!

Kila hoja ina majibu kweli humu ndani uzi mmoja unaweza ukamfungua mtu kichwa na kutambua mengine
 
JK hakusitisha BMK kupisha Bunge la Bajeti. Ilikuwa ni ratiba ya Bunge la bajeti ambalo hata nyie vilaza kama Lisu mnajua kuwa ni lazima liwepo. Na kuongeza siku sheria inamruhusua (someni mazwazwa nyie) hata kilaza Lissu hiyo anajua hila tatizo liko kwenu MAZWAZWA wa Bavicha, sijui tutaenda wapi na mazwazwa vichwa vya panzi msiojaribu angalau kuelewa kidogo. Mwenzenu Lisu alipewa vidonge vyake akaelewa na hadi leo kimya, MAZWAZWA bado mnatetea uzwazwa wenu. Kweli cdm kuna wapenzi aina tatu kama alivyosema mwanachama mwenzenu, ila kundi lililonifurahisha ni la MAZWAZWA wanaoshinda kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom