Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,729
Jumapili iliyopita mawaziri Umi Mwalimu na Mwigulu Mchemba walitembelea machinjio ya vingunguti ambayo ilikuwa imefungwa na TFDA kwasababu mbali mbali, kwa mshangao wa jamii, mawaziri hawa waliamuru machinjio hiyo ianze kuchinja wanyama mara moja.
Nimejiuluza MASWALI mengi sana,
Je, mawaziri hawa hawatii Mamlaka zikizowekwa kisheria?. Tazama mapungufu yaliyoainishwa na TFDA pamoja na picha ya mchuuzi wa nyama machinjioni