Kwa hili la usafi, hawa mabinti wa mtume wapewe maua yao

Tatizo la haya mambo huwezi kuyathibitisha. Ukiambiwa uthibitishe utasema 'kuna mkristo/muislamu unamjua alikua hivi na hivi' sasa hao wachache sio wote....

Inakua sio uungwana.
 
umelisemea vizuri mkuu


agiza kinywaji unachotumia
 
Tatizo la haya mambo huwezi kuyathibitisha. Ukiambiwa uthibitishe utasema 'kuna mkristo/muislamu unamjua alikua hivi na hivi' sasa hao wachache sio wote....

Inakua sio uungwana.
Uislam ni Dini nadhifu sana tukiacha unafki.

Unajua hata kusalimiana kwa mikono ktk hii dini ina limit yake? Huwezi mshika mwanamke kiganja chake hovyo hovyo.

Ndio maana hata wakati wa covid watu wengi waliishi ktk misingi ya hii Dini.
 
Nyie kinachowachanganya wala sio usafi japo ni kweri wanautamaduni wa usafi, Ila kinachowachanganya na mnachokielezea humu ni mvuto/~enye kuhita.

Kinachofanyika pale ni kwamba mwili unanawili na kua na mvuto zaidi/unahita kutokana na kujifunika mwili mzima (kujistili)
Mwili unakosa mwanga wakutosha na mzunguko mzuri wa hewa.

Hii ni kwa mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke ukijifunika kwa mda mrefu lazima uwe na mvuto flani ivi. Mfano mtu yeyote sehemu ambayo inakua imefunikwa mda wote inakua na rangi nzuri ukilinganisha na sehemu nyingine kama vile wavaa sendo, vest nk wanaweza kushuhudia hili.

Hili swala linaenda hadi kwenye mimea, fanya utafiti huu funika maua, majani au zao lolote kwa muda kama wiki hivi, alafu funua utaona majani yemekua raini sana, teke teke na ukijani umepungua.

Kama ni mbogamboga basi inakua more palatable.

Na kama ni binti ukiachilia mbali hali yao ya asili yakua raini basi akijisitili nae anakua more palatable(mvuto wa ajabu).
 
Japo wanaongoza Kwa kutoa ndogo(utafiti usio rasmi)ila Kwa usafi ni first class mkuu,yaani wananukiaa!!!!Kwa wale wazee wa kupiga deki unaweza ukalamba mpaka ukachubua,najiuliza wao wamewezaje?Na kwann wengine washindwe?
ni kweli budda na wanaweza sana kujipanga kunako 6×6 (utafiti usio rasmi)

unaweza kukojoa hadi maini

Nakazia
 
100% sahihi kabisa
 
Lakini chief mbona mapenzi ta jinsia moja yako promoted sana na wazungu na mpka vatcan? Au wale wa vatcan na wale wazungu ni waislam pia?
Tunaaangalia matendo ,nenda zenji,Mombasa au Tanga ndo utaelewa

Mim tu nliokutana nao
Maimuna, Amina,khalima,ashura,nasra,Faiza,Zainab etc wte walikuwa hawana rinda

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tunaaangalia matendo ,nenda zenji,Mombasa au Tanga ndo utaelewa

Mim tu nliokutana nao
Maimuna, Amina,khalima,ashura,nasra,Faiza,Zainab etc wte walikuwa hawana rinda

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nenda Italy,German,US,UK,France,Greece, utaelewa..Na ndoa zao zinafungwa makanisani kabisa...Kwahiyo wewe katika maisha yako umekuwa ni wakutafuta wenye mademu wenye majina ya kiislam tu..hahahahhaahhahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…