Hapo sasa, watueleze kuna shirikisho la Muziki Africa? Au Mtu tu anakaa na kuandaa vigezo vyake akatoa tuzo kama alivyofanya James Dandu ktk Kilimanjaro awards!!! Hivi hata Okwi akichaguliwa kuwa mchezaji bora na Tff akirudi kwao Uganda apokelewe kama mfalme? Hii si sawa. Caf ni shirikisho rasmi la Mpira Africa pia ni mwanachama halali wa shirikisho la Mpira Duniani Fifa hivyo Samata anatambulika hadi Fifa kua ni Mwanasoka bora wa Africa kwa wachezaji wa ndani.Sasa wewe unalinganishaje mpira wa miguu na hao wakata viuno aisee. Huoni aibu?
yaani kwakweli hatusomeki, walikuwa wanasema mondi anaenda ikulu kila siku now tena wanasema vingineWatanzania ni mabagingwa wa kutoa lawama..juzi hapa mlitoa lawama sana na leo bado mnaendelea kutoa lawama!
Lawama ni moja ya vitu vyepesi sana kufanyaWatanzania ni mabagingwa wa kutoa lawama..juzi hapa mlitoa lawama sana na leo bado mnaendelea kutoa lawama!
Hapo sasa, watueleze kuna shirikisho la Muziki Africa? Au Mtu tu anakaa na kuandaa vigezo vyake akatoa tuzo kama alivyofanya James Dandu ktk Kilimanjaro awards!!! Hivi hata Okwi akichaguliwa kuwa mchezaji bora na Tff akirudi kwao Uganda apokelewe kama mfalme? Hii si sawa. Caf ni shirikisho rasmi la Mpira Africa pia ni mwanachama halali wa shirikisho la Mpira Duniani Fifa hivyo Samata anatambulika hadi Fifa kua ni Mwanasoka bora wa Africa kwa wachezaji wa ndani.
Tuacheni utani mpira unachezwa hadharani na kila mtu anaona, tena unatambulika na mashirikisho yaliyonamlaka na yamayotambulika rasmi hivyo binafsi naona ni sahihi kumpongeza Mtu aliyeshinda Olympic, Madola, Ngumi zinazotambuliwa na mashirikisho ya Kimataifa, sio Tuzo za Mashauzi Airpot!! Na muache ushabiki maandazi...
Watu hawako serious Mpira na Ngoma wapiwapi.Aina haja ya kuandika maelezo yote haya. Huyu mleta mada atakuwa mzaramo tu kulinganisha mpira na mziki.