Kwa hili la Mukama tunahitaji maelezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili la Mukama tunahitaji maelezo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Apr 12, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau jana usiku nec - cc ya ccm wametangaza rasmi orodha viongozi wapya wa ccm

  Shaka yangu ni kuhusu Mukama ambaye kachaguliwa kuwa katibu mkuu - kwa kawaida nafasi hii hupewa mtu ambaye ni kada kweli kweli na anayekijua chama ndani nje.

  Ukipitia historia ya Mukama inaonyesha amekuwa mtumishi wa umma na kwa mujibu wa sheria ya nchi mtumishi wa umma hastahili kuwa na chama. Je, Mukama hakuwa mwanachama? Uzoefu unaonyesha mtumishi wa umma yeyote akijuhusiha na siasa huachishwa kazi mfano Prof. Baregu alipojihusisha na CHADEMA wakamwondoa .

  Je, kuwa kada na mtumishi wa CCM sio kosa bali kosa kuwa mwanachama wa upinzani na kuwa mtumishi wa umma?
   
 2. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mukama amewahi kufanya kazi CCM Makao Makuu kabla hajateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Vijijini.

  Alikua Msaidizi wa Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wakati huo Katibu wa Uenezi Akiwa Kingunge Ngombale Mwiru! Kwa elimu Mukama alipata Masters yake ya Public Administration Miaka ya 1980 Marekani!
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  the Question is is he fit to leader - to becoming a chief strategist katika ulimwengu huu wa fikra pevu na tofauti? what is the different kati yake na Makamba katika utendaji?
   
 4. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wewe Tatizo lako ni nini? Wao CCM wamemuona anafaa na ni nje ya kundi lilozooleka au ulitegemea wapagawishe watu tena au ungependa kusikia hakina BENO MALISA, BASHE RIdhiwani? halafu useme mafisadi wale wale. Hivi kwa nini UVCCM walimwekea zengwe NAPE kila kona? Sasa kilio na aibu kwao.
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa kawaida ya wachumia tumbo saa hizi wanajidai marafiki zake wakubwa!
   
 6. A

  Anold JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Jamani tusimhukumu, tusubiri tuone!
   
 7. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kenge acha ukenge wako, elewa mada na acha ku post ushabiki usio na maana
   
 8. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Sijui huko atakuwaje alipokuwa serkalini ni laiserfaire sana tu ,waulize wizara ya afya hasa wanapomlinganisha na blandina nyoni!
   
 9. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni vema tukasubiri tuone utendaji wake.
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  maafisa waandamizi wengi kwenye utmishi wa umma ni makada,posho kubwakubwa wanazopewa zinawatiaga upofu na kuangukia kwenye siasa,..kwenye corridor huwezi kuongea habari za cdm,..kwa ufupi kwenye ofisi za serikali ukijulikana kuwa mpinzani zengwe linaanza,..hujiulizi tibaigana walitumia mda gani kumfaham mpaka kugombea ubunge mda mdogo baada ya kustaafu???
   
 11. s

  sativa saligogo Senior Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimsingi, gamba likitoka nyoka anabaki kuwa nyoka tu si vinginevyo!!!kwani hapa kilichabadilika ni kuni tu lakini moto ni ule ule! Kwani mmesahau sakata la tenda ya uksanyaji ushuru pa UBUNGO terminal ? Wake-up plse nani alipewa tenda ile kifisadi!!!
  ......cjui nanihh......kinje...!!!!kama alifanya kazi na kingunge unategemea nini ? Ukistaajabu ya musa..........! Ni mapema sana kufanya tathmini.
  sativva:drum:
   
Loading...