hapa umeandika kihunikihuni tu......kweli timu uliozitaja hapo ni za kihuninilikua wakwanza kuisifia timu hii ngeni ya mbeya city kua itafika mbali..
Hii ilitokana na kuona timu imejipanga kwa kuuza jezi zao wenyewe,. Hii ilifanya nione itafika mbali sana,. Mwna hili jukwaa nafkiri mliliona,.
Kwa kitendo cha kihuni walichofanya juzi pale uwanjani najuta sana kutoa maoni kama yale,. Hii timu ni ya kihuni na wavuta bang na isipo angalia itaelekea kule walikoishia moro untd,kahama, afc,majimaji, na timu nyingine za wahuni ,.
Plz mbeya city badilikeni kama mnataka mapinduzi ya sola,. Lijezi lenu nimeshalichomelea mbali,.
Tatizo unachanganya habari, wachezaji wa Mbeya city si wahuni , ila wale washabiki ambao huwezi jua wa timu ipi ndo wawezasema wahuni , harafu jifunze kaka au umesahau hata Tyson alikuwa mbabe lakini ilifika akakubali matokeo. Hiyo hali ya kutokukubali matokeo ndo inawafanya mjambe hovyo. Yanga ni nani hata asikubali mabadiliko,,,,, walishachoka , Nizar , Bahanuzi , na huyo KAVU mbavu, hamna kitu , wanachezeshwa na magazeti na wakiendelea hivi watalia sana .
Nilikua wakwanza kuisifia timu hii ngeni ya mbeya city kua itafika mbali..
Hii ilitokana na kuona timu imejipanga kwa kuuza jezi zao wenyewe,. Hii ilifanya nione itafika mbali sana,. Mwna hili jukwaa nafkiri mliliona,.
Kwa kitendo cha kihuni walichofanya juzi pale uwanjani najuta sana kutoa maoni kama yale,. Hii timu ni ya kihuni na wavuta bang na isipo angalia itaelekea kule walikoishia moro untd,kahama, afc,majimaji, na timu nyingine za wahuni ,.
Plz mbeya city badilikeni kama mnataka mapinduzi ya sola,. Lijezi lenu nimeshalichomelea mbali,.
Bila shaka utakuwa mshabiki wa kandambili mkuu, sidhani kama ni sahihi kuwahukumu MCC kwa kosa la mashabiki wao maana sidhani kama ndo walowatuma kupopoa bac la yanga, anyway sport hooliganism ipo sehemu nyingi duniani kama sikosei mashabiki wa leeds utd au liverpool walichomwa visu vya makalio uturuki, among other places hooliganism is rampant
Mkuu ndomyana Mbeya city imekuja kwa moto lakini we subiri kuanzia round 7 uone watakavyoanza kupotea.
Nadhani coach wao ni yule Mwambusi,ni kocha mzuri lakini by the end of the day watamtimua.
Najua mzunguko wa pili wakija Dar basi wajiandae kuchukua kipigo cha mbwa mwizi.
kwani ni lini yanga walisonga mbele mkuu?Mkuu hvi vitimu vya uchochoroni vikipata matokeo mnaongeaga sana subiri tu tuwaone mwisho wao, yanga ikishindwa ishinwe kiharali sio zengwe kama zile za kipuzi za kuwafanyia vurugu, na refa kukataa goli la wazi na halali la yanga,. Kwa mwendo huu hatutofika mapinduzi ya haki ya kisoka zaidi tutarudi nyuma,. Nataka tinu ishinde kiuhalali katikati ya dimba sio kushinda kwa mbeleko
Kaka hata nisingekua shabiki wa yanga ningeliongelea hili kwa maendeleo ya soka letu
wahuni ni simba, ambao kila kukicha hutoa rushwa kwa wachezaji apinzani ili wasicheze above kiwango chao. simba iliwahi kuihonga wachezaji wa zamau mpaka TAKURU iliingilia kati. Simba iliwahi kuibomoa maji maji kwa kupora wachezaji wake wote mpaka kocha wao George Tauzan. Simba iliwahi kuibomoa Pamba kwa kusajili wachezaji wake wakali sita kwa mpigo. Sasa uhuni ukifanywa na simba si kero ila Mbeya City unavuma kama sana. jaribu kukua na kuamini Injili.Nilikua wakwanza kuisifia timu hii ngeni ya mbeya city kua itafika mbali..
Hii ilitokana na kuona timu imejipanga kwa kuuza jezi zao wenyewe,. Hii ilifanya nione itafika mbali sana,. Mwna hili jukwaa nafkiri mliliona,.
Kwa kitendo cha kihuni walichofanya juzi pale uwanjani najuta sana kutoa maoni kama yale,. Hii timu ni ya kihuni na wavuta bang na isipo angalia itaelekea kule walikoishia moro untd,kahama, afc,majimaji, na timu nyingine za wahuni ,.
Plz mbeya city badilikeni kama mnataka mapinduzi ya sola,. Lijezi lenu nimeshalichomelea mbali,.
Mkuu hvi vitimu vya uchochoroni vikipata matokeo mnaongeaga sana subiri tu tuwaone mwisho wao, yanga ikishindwa ishinwe kiharali sio zengwe kama zile za kipuzi za kuwafanyia vurugu, na refa kukataa goli la wazi na halali la yanga,. Kwa mwendo huu hatutofika mapinduzi ya haki ya kisoka zaidi tutarudi nyuma,. Nataka tinu ishinde kiuhalali katikati ya dimba sio kushinda kwa mbeleko
wewe huongelei hili kwa maendeleo ya soka,unaongelea kwa ushabiki.mbona hukupayuka Yanga walivyofanya vurugu kwa coastal union?mbona hukulaani Yanga walivyompiga mwamuzi?
Kaka hata nisingekua shabiki wa yanga ningeliongelea hili kwa maendeleo ya soka letu
Nilikua wakwanza kuisifia timu hii ngeni ya mbeya city kua itafika mbali..
Hii ilitokana na kuona timu imejipanga kwa kuuza jezi zao wenyewe,. Hii ilifanya nione itafika mbali sana,. Mwna hili jukwaa nafkiri mliliona,.
Kwa kitendo cha kihuni walichofanya juzi pale uwanjani najuta sana kutoa maoni kama yale,. Hii timu ni ya kihuni na wavuta bang na isipo angalia itaelekea kule walikoishia moro untd,kahama, afc,majimaji, na timu nyingine za wahuni ,.
Plz mbeya city badilikeni kama mnataka mapinduzi ya sola,. Lijezi lenu nimeshalichomelea mbali,.
acha kuabudu yanga au simba.