Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,892
Msengerema alishindwa kulipia pikipiki za kwenda kutoa rushwa ndo aweze usajili?
Hapo anajilengesha kwa Ghalib apige mzingaunajua beef ilipoibuka watu kadhaa hadi wakubwa walimuomba atulize wenge mtandaoni team itulie sasa naona ka miss ile hali ya kubembelezwa mbaya zaidi kachuniwa na twitter kageuka kituko aisee maskini bagaile,dah sope albino eti ndo mshkaji wake sasa hivi ana screenshot posts zake wanasapotiana wenyewe