Kwa hili la DAS wa Simiyu, Kairuki kachemka

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Bw. ALBERT EDWARD RUTAIHWA ambaye Julai 1, 2016 aliteuliwa na Mh. Rais kuwa District Administrative Secretary (DAS) wa Bariadi, Simiyu ni mmoja kati ya watanzania 10, 000 waliobainika kuwa ni makanjanja wenye vyeti vya kufoji ambapo jina lake ni la 7410.

Section 16 of the Regional Administration Act, 1997-"There shall be appointed for or posted to every district in Mainland Tanzania in accordance with the provisions of the Civil Service Act, 1989, a public officer designated as District Administrative Secretary."

MASWALI KWA MH. A. KAIRUKI:

1. Je huyu sio "political appointee"?

2. Je DAS sio public officer?

3. Je vyeti vya Public Officer wa aina hii havipaswi kuchunguzwa?

4. Je kama DAS ni political appointee, kwanini vyeti vyake vimehakikiwa?

5. Je ni maDAS wote wamehakikiwa? Au ni yeye tu?

6. Je vetting haikufanyika kabla ya kumteua maana huyu kwa mujibu wa Kifungu cha 16(2) cha Sheria hiyo ndie Mshauri Mkuu wa DC?

6. Je huyu DAS A. Rutaihwa ametekeleza tayari agizo la Mh. Rais kuachia ngazi mara moja kuanzia juzi?
 
kuna yule stella mwampamba sijui,nina mashaka na vyeti vyake sana!!!
 
Usikute hata kairuki naye ana cheti feki. Maamuzi yake ya kibashite sana
 
Yaani shida ya nchi hii kwa sasa kila Mtendaji anataka kufanya kazi kwa kumfurahisha Bwana mkubwa.......

Ni watendaji wachache sana kwenye awamu hii ya 5 ambao wanasimamia taaluma zao za kazi, bila kujali kama wanamuudhi Mtukufu sana......

Mifano michache ya wataalam hao ni Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Profesa Ndulu na CAG Profesa Mussa Assad
 
Veta jaman Veta kule ndo balaaa knavashte wamejazana lakn cjaona kwenye list
 
Back
Top Bottom