Ndugu wananchi,tumemsikia RAIS wa tanzania akisema anaitaji kuiona ATCL ikiruka hata jumatatu,,nafurahi kuona kumbe hi kamPuni ni ya watanzania na si ya mattaka na menejiment yake kama walivyozani,,yaah kuna thread nyingi za atcl na jinsi gani ya kuisaidia kuweza kutoka icu ,,,Bado najiuliza kwa upuuzi wa menejiment ya ATCL na WIZI ulifanywa mpaka kampuni ikafikia hapo je kulikuwa na umuhimu wowote wa kuunda task force jamani kuweza kuwaondoa ...embu tujaribu kuwaelekeza vyema hawa watu maana najua hata kama kuiimarisha hiyo kampuni kutaanzia uko serikalini,sasa kama hao wanaotarajiwa kuinyanyua atcl ndio hao wanakimbizana na tume ,tume,\tume hizi zinanini???na labda swali langu nimuulize mh WAZIRI alivyoongea kwenye Vyombo vya habari amemuelekeza mwenyekiti wa bodi siku saba,baada ya hapo atatoa maamuzi kwa wote waliohusika,,then anapelekewa ripoti na mwenyekiti wa bodi na kuamua kunda tume tena jamani hiz TF(taskforce) ZITAISHALINI??swali kulikuwa na umuhimu
kwa nini pesa za serikali zinachezewa hivi jamani??
kila la kheri ATCL YENU