Kwa hili inatupasa tuwaheshimu wadada wakazi majumbani kwetu.

Ukikaa nao kwa upendo. Nae huzidisha upendo kwako. Mara mbili yake. Hongera kwa mapenzi yako kwa dada wa nyumbani
 
Wadada wakaz n wakuwaheshim sana

Dada wakaz akiwa mbaya kwa
Watt n sabab ww mwnyw
Unamtesa kila ukirud
Huish kumpigia kelele
 
Huyo dada mstaarabu pia nikupongeze kaka una ustaarabu. Wengine wakikaa sebleni wanawaza ntaanzaje kumtongoza beki3... akili zao kama beki3 tuu
 
Mtu mweusi anafunga milango yote akiondoka kwa kuogopa asiibiwe na mfanyakazi wa ndani tena unaweza kukuta mfanyakazi anampiga na kumnyanyasa lakini amesahau ya kuwa huyo mfanyakazi pamoja na kufunga milango yote unamwachia mtoto wako so jiulize thamani ya mwanao ni zaidi ya kile unachokifungia chumani? au unamtesa mdada wa kazi lakini umesahau ya kuwa yeye ndo anawapikia chakula mnachokula nyinyi na familia yako je akiweka vitu anavyovijua yeye itakuwaje?

Wenzetu weupe wanamheshimu sana mtu anayekaa na watoto wake ,anayempikia chakula na yule anayemlinda nje wakt yeye yumo ndani amelala
 
Huyo ni wife material mkuu... Kama hujaoa usimwachie lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…